Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Kwani bosi wenu Netanyau si alisema anakwenda kuwaopoa wote? Mbona ameshindwa?
 
H

Hao magaidi wa Hamas wamehusika na kifo cha mtanzania mwenzetu ambaye hata hahusiki na mzozo wao na Israel.

Serikali ya Tanzania: Mtanzania aliyekufa Ukraine alifungwa na baadaye kujiunga na Wagner​

Pengine na yeye alikua hivi hivi
 
Wenya lana nyie mnaopeleka ndugu zenu Israel, alienda kufanya nini kambi za majeshi huko Israel, tulisha wambia Hamasi hukuwauwa hao raiya walio kuwa kwenye musical festivals mkawa mnabisha.

Tuliwambia Hamasi yeye target zake ni kwenye kambi za jeshi tu, sa huyo mbongo alienda fanya nini kambi za jeshi?

Kuhusu, Hamasi nani kakuambia anauwezo wa kuitoa hapo Gaza si America, Europe wala Israel wana ubavu huo.

We msikilize Natanyahau tu na Biden wanaota wanadhani Hamasi wanatishika na maneno 😄
You are dumber than dumb
 
Huu uzi una comments za vichwamaji zinatia kinyaa kabisa hata kuzisoma. Kuna dini fulani ni upumbavu mtupu.

Jitu linajua kabisa chanzo kikuu na mazingira ya kifo ila linajaribu kuhamisha magoli na kujaribu kusafisha upande wake ambao ni mchafu uonekane msafi! Mara "hamas wanapigana kistaarabu!" Kistaarabu wangewateka na kuwaua watu wasio na hatia!? Upumbavu! Jingine linasifia ugaidi Hadi linauliza namna ya kuhamia dini hiyo, yaani lipo dini hiyo halafu linataka kuhamia dini hiyohiyo! Huko ndo kujipiga dole kisha kunusa.

Hata kama hao sijui IDF walimwua kijana kwa kombora huko Gaza kama walevi wa dini mnavyowatetea wapuuzi wenzenu, kijana alifikaje huko Gaza? Alijipeleka?

Ile hoja ya kutumia wanyonge kuwa kinga kwenye mapambano ndo mnaipa nguvu.

Serikali la tz nalo lililoshikiliwa na mashetani ya kijani hata kufuatilia mapema hakuna, tulishahoji na kushauri humu lakini yanasoma tu na kwenda kulala. Balozi wa Palestina anakula kiyoyozi tu bila wasiwasi na hakuna wa kumfuata kumwambia lolote.

Kwa mtu yeyote anayejali kupoteza uhai wa mtu kizembe bila jitihada yoyote huwa inaumiza sana. Serikali yetu ina historia ya uzembe huo, kwa viwango vya kupitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom