Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Kwani bosi wenu Netanyau si alisema anakwenda kuwaopoa wote? Mbona ameshindwa?
 
H

Hao magaidi wa Hamas wamehusika na kifo cha mtanzania mwenzetu ambaye hata hahusiki na mzozo wao na Israel.

Serikali ya Tanzania: Mtanzania aliyekufa Ukraine alifungwa na baadaye kujiunga na Wagner​

Pengine na yeye alikua hivi hivi
 

Serikali ya Tanzania: Mtanzania aliyekufa Ukraine alifungwa na baadaye kujiunga na Wagner​

Acha kuhamisha magoli, tunaongelea Mtanzania aliyeuawa na magaidi wa Hamas.
 
Kwa hivyo? Kwako Hamass magaidi. Kwa waislam hamas ni wakombozi
Magaidi hao wa Hamas wamemuua mtanzania mwenzetu.

,wakombozi wa Palestine ni Fatah na Palestine Authority.
 
You are dumber than dumb
 
Huu uzi una comments za vichwamaji zinatia kinyaa kabisa hata kuzisoma. Kuna dini fulani ni upumbavu mtupu.

Jitu linajua kabisa chanzo kikuu na mazingira ya kifo ila linajaribu kuhamisha magoli na kujaribu kusafisha upande wake ambao ni mchafu uonekane msafi! Mara "hamas wanapigana kistaarabu!" Kistaarabu wangewateka na kuwaua watu wasio na hatia!? Upumbavu! Jingine linasifia ugaidi Hadi linauliza namna ya kuhamia dini hiyo, yaani lipo dini hiyo halafu linataka kuhamia dini hiyohiyo! Huko ndo kujipiga dole kisha kunusa.

Hata kama hao sijui IDF walimwua kijana kwa kombora huko Gaza kama walevi wa dini mnavyowatetea wapuuzi wenzenu, kijana alifikaje huko Gaza? Alijipeleka?

Ile hoja ya kutumia wanyonge kuwa kinga kwenye mapambano ndo mnaipa nguvu.

Serikali la tz nalo lililoshikiliwa na mashetani ya kijani hata kufuatilia mapema hakuna, tulishahoji na kushauri humu lakini yanasoma tu na kwenda kulala. Balozi wa Palestina anakula kiyoyozi tu bila wasiwasi na hakuna wa kumfuata kumwambia lolote.

Kwa mtu yeyote anayejali kupoteza uhai wa mtu kizembe bila jitihada yoyote huwa inaumiza sana. Serikali yetu ina historia ya uzembe huo, kwa viwango vya kupitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…