Mmoja wa vibaka aliyeuliwa 29/10/2025

Mmoja wa vibaka aliyeuliwa 29/10/2025

Hivi Usheikh hauna Vigezo?? unakutana na mtu mpuuzi kabisa anajiita sheikh haujawahi kumsikia akitoa mhadhara popote wala hana elimu yeyote ya Dini hata ya Dunia mjinga flani anavaa kanzu tu anajiita sheikh anasema watu wameuliwa ni vibaka.....
 
Ujue kukunja mkuu vizuri na kuweza kukusanya ubwabwa kwenye sinia na kiushindilia mdomoni TU. 😂😂
 
Back
Top Bottom