TANZIA Mmoja ya wamiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry afariki dunia

Aliyekuwa mmiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry, amefariki dunia Alfajiri ya leo Jumatatu Agosti 09, 2021 jijini Dar es Salaam.
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika na anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.
Changamoto imeondoka na wengi

USSR
 
Aliyekuwa mmiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry, amefariki dunia Alfajiri ya leo Jumatatu Agosti 09, 2021 jijini Dar es Salaam.
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika na anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.

Apumzike kwa amani.

Haitakuwa Corona. Kwetu hiyo haiuwi watu tokea Apr 2020.

Yatakuwa magonjwa mengine tu.
 
Watasingizia corona kumbe ukute kuna mtu kammaliza anatumia mgongo wa corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…