TANZIA Mmoja ya wamiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry afariki dunia

Mmhh... Upepo huu upite aisee..
RIP.
 
Aliyekuwa mmiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry, amefariki dunia Alfajiri ya leo Jumatatu Agosti 09, 2021 jijini Dar es Salaam.
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika na anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.
Mwendo ameumaliza
giphy.gif
 
Aliyekuwa mmiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry, amefariki dunia Alfajiri ya leo Jumatatu Agosti 09, 2021 jijini Dar es Salaam.
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika na anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.
Om Shanti Shanti Shanti
 
Sisi kama serekali mpango wetu nikutoa data za kupikwa lengo tupate watu million 1 waliopoteza maisha na watu million 5 ambao wapo seriously affected with coronavirus

Lengo letu kama serikali ni tukidhi masharti ya mkopo wa world bank (IMF)

R.I.P Sumry
 
Aliyekuwa mmiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry, amefariki dunia Alfajiri ya leo Jumatatu Agosti 09, 2021 jijini Dar es Salaam.
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika na anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.
amefariki AGHA KHAN HOSPITAL DAR KWA CORONA MAZISHI MAKABURI YA KISUTU LEO
 
Hivi kwa nini mkuu hiyo uviko inawaonea sana vibopa,au ina wivu nao,mbona makondakta wa mabasi kila siku wapo kwenye risk hatujawahi kuhudhuria mazishi yao kwa vifo vilivyosababishwa na changamoto??
Umri mkuu,makonda wengi bado wana nguvu,pili hata kama wanakufa huwezi kujua,Sumri hata kama humjui ukitajiwa kwamba ni mmiliki wa yale mabasi inamtambulisha
 
Back
Top Bottom