Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hata waliofariki kwa malaria na magonjwa yasiyoambukiza mtajumlisha kupata idadi?Sisi kama serekali mpango wetu nikutoa data za kupikwa lengo tupate watu million 1 waliopoteza maisha na watu million 5 ambao wapo seriously affected with coronavirus
Lengo letu kama serikali ni tukidhi masharti ya mkopo wa world bank (IMF)
R.I.P Sumry
Unaongea kama nani!!?? Au wewe ndo mke wake?amefariki AGHA KHAN HOSPITAL DAR KWA CORONA MAZISHI MAKABURI YA KISUTU LEO
Nimebakia mimi tu😞👌🏿2019-2021 Matajiri wengi wamefariki.
Pole kwa familia,marafiki . Pole kwa uchumi wa nchi
Kwani Reginald Mengi kwenda kuzikiwa Hai alikua ni tajiri wa wapi?Tajiri wa hai Nan Tena huyo unayemsifia n tajiri Kweli Kweli
Wanatembea kwa magari,,hawana mazoezi,wengi wako affected na sukari na BpHivi kwa nini mkuu hiyo uviko inawaonea sana vibopa,au ina wivu nao,mbona makondakta wa mabasi kila siku wapo kwenye risk hatujawahi kuhudhuria mazishi yao kwa vifo vilivyosababishwa na changamoto??
Wameposti picha ya Salum Sumry, aliyefariki ni HumudIla Sumry aliwavumilia sana watanzania aliowaajiri kwenye mabasi. Yani walikuwa wanamuibia sana. Acheni tu Mo awe mkali mmatumbi ukimchekea chekea mmatumbi akikuzoea anakurukia hadi mabegani.
Muislam huyo ndio maana wanazika harakaMbona anazikwa chap chap namna hiyo.Hata ndugu wa mbali hawajafika wote.ni kama kuna mtu anataka kumaliza utata flan hiv
Asante mkuu kwa ufafanuziWameposti picha ya Salum Sumry, aliyefariki ni Humud
WeNaona mmepost picha ya Salum Sumry wakati aliyefariki ni mdogo wake
Korona ilikuwa imeanza Duniani?Kwani Reginald Mengi kwenda kuzikiwa Hai alikua ni tajiri wa wapi?
True wengi kinomaa au huu ugonjwa ndio unachagua hao???! Yaani matajiri kibao yani2019-2021 Matajiri wengi wamefariki.
Pole kwa familia,marafiki . Pole kwa uchumi wa nchi
Ilikua imeanza Chato.Korona ilikuwa imeanza Duniani?
Hapo ndipo waislam huniachaga nashangaa yaani chap chap wanafukia tu???ndio maana unaweza kuulizia mtu unaambiwa aliishakufaga kitambo mbaka unashangaa na maswali unajiulizaMbona anazikwa chap chap namna hiyo.Hata ndugu wa mbali hawajafika wote.ni kama kuna mtu anataka kumaliza utata flan hiv
Kwa desturi zetu hata ukifa saa nne usiku, basi usiku huo huo inabid uzikwe. Ndio maana nchi za Kiarab makaburi huwa yapo wazi kama reserve.Mbona anazikwa chap chap namna hiyo.Hata ndugu wa mbali hawajafika wote.ni kama kuna mtu anataka kumaliza utata flan hiv