TANZIA Mmoja ya wamiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry afariki dunia

TANZIA Mmoja ya wamiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry afariki dunia

Hii taarifa sijaielewa mwenye uelewe atoe ufafanuzi hasa watu wa sumbawanga wenye kuwajua vizuri..maana naona mitandao mingi inaandika salum humud summary na picha yake inaonekana.

Huyu salum sumry ni mtoto wa yule mzee sumry mmiliki wa mabasi toka kampuni inaanza. Maana nakumbuka mzee sumry alikuwa na watoto I think watatu mkubwa akiwa salum...Je anayezungumzwa na Ni salum au yule baba yake?
 
Naogopa sana sekunde za mwisho mwisho kuaga dunia. Sijui kuna nini huko?

RIP mkuu.
 
I did not know that when we last met in December, had a chat on a number of issues, kumbe tulikuwa tunaagana. RIP HUMUD
 
VIJANA TUFANYE KAZI KWA BIDII ILI TUKIFA TUZIKWE MAKABURI YA KISUTU AU KINONDONI.

Ukisikia mtu anazikwa makaburi ya Mburahati.....
 
Ila Sumry aliwavumilia sana watanzania aliowaajiri kwenye mabasi. Yani walikuwa wanamuibia sana. Acheni tu Mo awe mkali mmatumbi ukimchekea chekea mmatumbi akikuzoea anakurukia hadi mabegani.

Hivi biashara ya basi si ni unaangalia kitabu cha tiketi tuuu au halafu unafunga hesabu
 
Hivi kwa nini mkuu hiyo uviko inawaonea sana vibopa,au ina wivu nao,mbona makondakta wa mabasi kila siku wapo kwenye risk hatujawahi kuhudhuria mazishi yao kwa vifo vilivyosababishwa na changamoto??
Pengine Vibopa ndo wanaotangazwa
 
Ungeujua uviko19 vizuri usingeuliza hilo swali mkuu....Ushasema vipoba nenda kaangalie vibopa wanakuwa na issue gani au magonjwa gani ,kisha pitia uviko inapendelea kupiga wapi au watu gani wapo vulnerable na uviko.
Okay,naanza kupata picha mkulungwa
 
Back
Top Bottom