TANZIA Mmoja ya wamiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry afariki dunia

amefariki AGHA KHAN HOSPITAL DAR KWA CORONA MAZISHI MAKABURI YA KISUTU LEO
Juzi nilihudhuria msiba wa tajiri mmoja huko Moshi na nina maanisha tajiri kweli kweli na kwny mazishi yake familia ikasema baba yao amefariki kwa Corona na hata kijitabu Cha kuelezea historia ya marehemu wameandika sababu ya kifo Cha baba yao Ni Corona,Askofu shoo(Mkuu wa KKKT) aliyekua anaongoza mazishi hayo alipongeza hatua hio ya familia kusema ukweli.Matajiri hawafichi fichi mambo yao.

Mbunge wa hai(CCM) alikuwepo hapo msibani na akapewa nafasi ya kuongea, akasema ndg zangu kueni Makini hapa Hai Hali si nzuri hata Kule motuary sehemu ya kuweka mwili 1 inawekwa miili 2.
 
Hivi kwa nini mkuu hiyo uviko inawaonea sana vibopa,au ina wivu nao,mbona makondakta wa mabasi kila siku wapo kwenye risk hatujawahi kuhudhuria mazishi yao kwa vifo vilivyosababishwa na changamoto??

Ungeujua uviko19 vizuri usingeuliza hilo swali mkuu....Ushasema vipoba nenda kaangalie vibopa wanakuwa na issue gani au magonjwa gani ,kisha pitia uviko inapendelea kupiga wapi au watu gani wapo vulnerable na uviko.
 
Hakuna tahadhari itakayokuepusha na kifo.....! Kama ni wa kufa ni kufa tu....!

Tahadhari inaepusha na mengi:

IMG_20210809_101955_435.jpg

Vikiwemo vifo vya UVIKO panapo Majaliwa.
 
Nilileta uzi kuwa Mungu anaisafisha dunia ule uzi nadhani uliwekwa kapuni.
Ila kwa ufupi ni kwamba Mungu anaisafisha dunia yake.
Kaa vizuri kijana usije kusafishwa
 
Hivi kwa nini mkuu hiyo uviko inawaonea sana vibopa,au ina wivu nao,mbona makondakta wa mabasi kila siku wapo kwenye risk hatujawahi kuhudhuria mazishi yao kwa vifo vilivyosababishwa na changamoto??

Kwani wa ma lori nao wanasema je? Kwani jiwe si naye alijinasinu kuwa ni dereva wa lori?
 
Juzi nilihudhuria msiba wa tajiri mmoja huko Moshi na nina maanisha tajiri kweli kweli na kwny mazishi yake familia ikasema baba yao amefariki kwa Corona na hata kijitabu Cha kuelezea historia ya marehemu wameandika sababu ya kifo Cha baba yao Ni Corona,Askofu shoo(Mkuu wa KKKT) aliyekua anaongoza mazishi hayo alipongeza hatua hio ya familia kusema ukweli.Matajiri hawafichi fichi mambo yao.

Mbunge wa hai(CCM) alikuwepo hapo msibani na akapewa nafasi ya kuongea, akasema ndg zangu kueni Makini hapa Hai Hali si nzuri hata Kule motuary sehemu ya kuweka mwili 1 inawekwa miili 2.
Tajiri wa hai Nan Tena huyo unayemsifia n tajiri Kweli Kweli
 
Back
Top Bottom