ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kuna video zilisambaa zikionyesha mabinti wa Baobab secondary wakifanya video za uchi na vitendo vya usagaji.
Hii shule inamilikiwa na nani?
Uongozi wa shule ya Baobab haujaomba radhi wala kukemea huu upuuzi, kwa maana utajirudia tena hapo shuleni na una baraka za uongozi.
Haya yamevuja tumeyaona mitandaoni, vipi ambayo ambayo hayavuji mitandaoni.
Dr Gwajima hujaona hii video?
Hawa mabinti ni Watanzania, kwanini uongozi wa shule haukuweka ulinzi ikiwemo kuzuia simu na watoto kuji record.
Hii tabia ikemewe maana itasambaa shule zote za Tanzania.
Tabia ya usagaji Kwa mabinti ipo shule nyingi private, Dr Gwajima ingia kazini Toka ofsini komesha huu ujinga.
Pia soma: Waziri wa Elimu ataka shule ya Baobab kuchunguzwa kisa video chafu zilizosambaa