Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Ebishuba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake kuwa uchi na kushikana matiti au makalio na viungo vingine ni usagajiMna hakika ni mabinti wa hiyo shule??
Na kule sio kusagana, mnakuza mambo tu. The were just having fun kucheza wakiwa na vyupi.
Bila hizo video hata pm tu futa Uzi huu ni ramli chonganishi Kwa jamiiKuna video zilisambaa zikionyesha mabinti wa Baobab secondary wakifanya video za uchi na vitendo vya usagaji
Hii shule inamilikiwa na nani?
Uongozi wa shule ya Baobab haujaomba radhi wala kukemea huu upuuzi, Kwa maana utajirudia tena hapo shuleni na una baraka za uongozi
Haya yamevuja tumeyaona mitandaoni, vipi ambayo ambayo hayavuji mitandaoni
Dr Gwajima hujaona hii video? Au unaisubiri kufuatilia talaka na ujinga wa 50/50
Hawa mabinti ni Watanzania, kwanini uongozi wa shule haukuweka ulinzi ikiwemo kuzuia simu na watoto kuji record,
Hii tabia ikemewe maana itasambaa shule zote za Tanzania
Tabia ya usagaji Kwa mabinti ipo shule nyingi private, Dr Gwajima ingia kazini Toka ofsini komesha huu ujinga