Kuna video zilisambaa zikionyesha mabinti wa Baobab secondary wakifanya video za uchi na vitendo vya usagaji
Hii shule inamilikiwa na nani?
Uongozi wa shule ya Baobab haujaomba radhi wala kukemea huu upuuzi, Kwa maana utajirudia tena hapo shuleni na una baraka za uongozi
Haya yamevuja tumeyaona mitandaoni, vipi ambayo ambayo hayavuji mitandaoni
Dr Gwajima hujaona hii video? Au unaisubiri kufuatilia talaka na ujinga wa 50/50
Hawa mabinti ni Watanzania, kwanini uongozi wa shule haukuweka ulinzi ikiwemo kuzuia simu na watoto kuji record,
Hii tabia ikemewe maana itasambaa shule zote za Tanzania
Tabia ya usagaji Kwa mabinti ipo shule nyingi private, Dr Gwajima ingia kazini Toka ofsini komesha huu ujinga