The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Alright ila tutakuja kimya kimyaPlease bring her... (i hope hilo sio swali..lol)
Honey! tangu uondoke hata nguvu za kutongoza zimeniishia. jinzi zote zinanipwaya honey! pliz fanya urudi honey!I miss you dearest...and love you more...you know how i like this place, am dealing with what has been troubling me and consuming a lot of my time and will be back. I miss your smart opinions and analysis...Take a good care of yourself, see you soon!
Nipo my dear, miss you!! natumai u mzima!!
Honey! tangu uondoke hata nguvu za kutongoza zimeniishia. jinzi zote zinanipwaya honey! pliz fanya urudi honey!
Miss u darling
hahaah ADI bana! hivi Kaizer karejesha zile kreti?Hapa ningekuchomea!! Sema tu sitaki kum-stress michelle... Hii post imejaa maneno hewa kweli yaani....lol..
Honey! tangu uondoke hata nguvu za kutongoza zimeniishia. jinzi zote zinanipwaya honey! pliz fanya urudi honey!
Miss u darling
Lol.....utamfanya ADI akalale sasa hivihahaah ADI bana! hivi Kaizer karejesha zile kreti?
Nipo my dear, miss you!! natumai u mzima!!
Sasa kamanda ulikuwa wapi hadi Michelle kaondoka salamu mingi kutoka kwakemnaongea nini humu...
hahaah ADI bana! hivi Kaizer karejesha zile kreti?
Tokea lini nikakususami mzima mpendwa. Baki salama ila usitususe sana.
Hahahahaaaaa!!! Michelle ubarikiwe kwa kurudi, naona mtoto Husninyo kabatasamu sana manake alikuwa analia lia kweli!!!
Tokea lini nikakususa
Sasa kamanda ulikuwa wapi hadi Michelle kaondoka salamu mingi kutoka kwake
Nilipata jimama likaninyang'anya simu, suruali akailoweka kwenye Omo nikawa nimebakiwa na boxer tu siwezi kutoka njejana na leo.