"MMU Misses you Sooo Much"

"MMU Misses you Sooo Much"

yote tisa,kumi jamani Field Marshall zee la jukwaa la siasa aliishia wapi?
 
I miss you dearest...and love you more...you know how i like this place, am dealing with what has been troubling me and consuming a lot of my time and will be back. I miss your smart opinions and analysis...Take a good care of yourself, see you soon!
Honey! tangu uondoke hata nguvu za kutongoza zimeniishia. jinzi zote zinanipwaya honey! pliz fanya urudi honey!
Miss u darling
 
Nipo my dear, miss you!! natumai u mzima!!

Karibu sana dia, usipotee hivyo bana japo salamu tu kwa mbali. Nakuombea mafanikio ktk shughuli zako till kukuona tena hapa kama zamani.
 
Honey! tangu uondoke hata nguvu za kutongoza zimeniishia. jinzi zote zinanipwaya honey! pliz fanya urudi honey!
Miss u darling


Hapa ningekuchomea!! Sema tu sitaki kum-stress michelle... Hii post imejaa maneno hewa kweli yaani....lol..
 
Honey! tangu uondoke hata nguvu za kutongoza zimeniishia. jinzi zote zinanipwaya honey! pliz fanya urudi honey!
Miss u darling

Hahahahahahaaaaa....daah yaani nimecheka usiku mpaka basi. Dawa iliyopigwa ban ya malaria kweli yaani tabu tupu.
 
hahaah ADI bana! hivi Kaizer karejesha zile kreti?



hahahaha.... Siijui nimeanza vipi kukuchokaza.... Huna habari kua ni Kimey ndie alimbebesha?? lol Yaani Sweetie hata taarifa alikua hana.
 
Hahahahaaaaa!!! Michelle ubarikiwe kwa kurudi, naona mtoto Husninyo kabatasamu sana manake alikuwa analia lia kweli!!!

yaani we acha tu, nashukuru upo unanifariji fariji.
 
Pal umeona nimemleta Michelle....

yeah... and I am having a blast..... but i have only one challenge
aisee.jpg
 
Back
Top Bottom