Sasa mbona tangu TF ameleta hizi habari mkuu Kaizer hatumuoni kujibu hzi tuhma? halaf pia msisahau kuna mtu kaondoka na aftershave yangu kwenye party, na nasuspect sana ni TF au babu aspirini.
Dah Kamanda....mi tena na kreti....hivi, TBL wanaweza kujiibia wenyewe makreti? LOL
Aseeee!!
Duh!!!
Bigi amezeeka sasa!! haina budi kupumzika.
Bigi amemwachia The finest..
Bigi anapumzika.
Bigi anakunywa biya na Fidel na Teamo,
Bigi Anamkaribisha RR kitimoto
Bigi hataki makabaila kaizer na Asprin
Bigi anawapenda sana akina King'asti na AshaDii
Lakini Bigi amepumzika, imempasa kufanya hivyo. utu uzima dawa!!
Dah! ankal unachafua CV mbele ya michelle?Khaaaa!! Tokea lini ukatumia aftershave wakati huwa unaoga kwa kutumia majani ya mpapai
hivi soko la mkorogo limeshuka Tanzania kiasi hiki kaka?halafu wigi lenyewe la blonde na vile alivyo mweusi ka.......na lipustiki nyekunduuuuu.....mahali ndo yule ng'ombe shoga?
Usiogope Michelle sio sista duDah! ankal unachafua CV mbele ya michelle?
lol acha tumsubirie na Kimey tuone atapapatua vp? maana inasemekana aloondoka na kreti kama hakuwahi kushiriki marathon basi lazima atakuwa na DNA ya chui au swala.Dah Kamanda....mi tena na kreti....hivi, TBL wanaweza kujiibia wenyewe makreti? LOL
usiogope michelle sio sista du
I miss Bi. Senti 50 something fierce! She was such a teaser.
lol acha tumsubirie na Kimey tuone atapapatua vp? maana inasemekana aloondoka na kreti kama hakuwahi kushiriki marathon basi lazima atakuwa na DNA ya chui au swala.
Nafikiri sasa utakua umeridhika... huyu hapa chini....lol
Sweetie so glad to see you.... Karibu Mpenzi...
million dollar post! Asenti.
lol......still in love with her?????lol
kama ulivoona mpenzi... Klorokwini alikua ana hamu ya kukuona ili uweze jibu the so called mashtaka... Akisindikizwa na pa....
kes dismissed mpaka atakapohuzuria kimey na babu aspirini hapo kesho. Uskute, mleta mashtaka TF ndo kaiba hizo kreti.Kama ulivoona Mpenzi... Klorokwini alikua ana hamu ya kukuona ili uweze jibu the so called mashtaka... akisindikizwa na PA....
Hapa mnazungumzia miss za Toyota stout au landrover 109??Nadhani tumwache Bigi apumzike kwa Amani, kwa niaba ya ODM.....
hashy mbona kama vile nawee pia unamaisha!! Nimeona ka vile you are in love... Just do the needful....lol
Kileti za biya!!!kes dismissed mpaka atakapohuzuria kimey na babu aspirini hapo kesho. Uskute, mleta mashtaka TF ndo kaiba hizo kreti.