"MMU Misses you Sooo Much"

"MMU Misses you Sooo Much"

Sasa mbona tangu TF ameleta hizi habari mkuu Kaizer hatumuoni kujibu hzi tuhma? halaf pia msisahau kuna mtu kaondoka na aftershave yangu kwenye party, na nasuspect sana ni TF au babu aspirini.

Nafikiri sasa utakua umeridhika... huyu hapa chini....lol

Dah Kamanda....mi tena na kreti....hivi, TBL wanaweza kujiibia wenyewe makreti? LOL

Sweetie so glad to see you.... Karibu Mpenzi...
 
Aseeee!!
Duh!!!
Bigi amezeeka sasa!! haina budi kupumzika.
Bigi amemwachia The finest..
Bigi anapumzika.
Bigi anakunywa biya na Fidel na Teamo,
Bigi Anamkaribisha RR kitimoto
Bigi hataki makabaila kaizer na Asprin
Bigi anawapenda sana akina King'asti na AshaDii
Lakini Bigi amepumzika, imempasa kufanya hivyo. utu uzima dawa!!

Nadhani tumwache Bigi apumzike kwa Amani, kwa niaba ya ODM.....
 
Dah Kamanda....mi tena na kreti....hivi, TBL wanaweza kujiibia wenyewe makreti? LOL
lol acha tumsubirie na Kimey tuone atapapatua vp? maana inasemekana aloondoka na kreti kama hakuwahi kushiriki marathon basi lazima atakuwa na DNA ya chui au swala.
 
lol acha tumsubirie na Kimey tuone atapapatua vp? maana inasemekana aloondoka na kreti kama hakuwahi kushiriki marathon basi lazima atakuwa na DNA ya chui au swala.

hahahaha,,,,Kimey ndugu yangu yule, itakuwa ni case ya 'mistaken identity tu'
 
kama ulivoona mpenzi... Klorokwini alikua ana hamu ya kukuona ili uweze jibu the so called mashtaka... Akisindikizwa na pa....

ahiiiiiiii.....kuna ma mtu humu yana maisha!...wanaitwa tu love,mpenzi......dah! Na mimi nataka!
 
ahiiiiiiii.....kuna ma mtu humu yana maisha!...wanaitwa tu love,mpenzi......dah! Na mimi nataka!

Hashy mbona kama vile nawee pia unamaisha!! Nimeona ka vile you are in love... Just do the needful....lol
 
Back
Top Bottom