"MMU Misses you Sooo Much"


katiba mpenzi....katiba...muulize Memo kama inaruhusiwa kusema hayo kikatiba...lol
 

Heeee!!!
Uspende mademu wa bure ujue wana gharamaa
Iya oyaa kaa ukijua staree gharama!! oyaaa!!
Oyaaaa! kaaa ukijua starehe gharamaaaa!!

leo lii jamani!!
lazima ujipange!
 
Lol....worry not...I just making sure you are not blind-folded by anyone...lol

That is why i feel so lost without you around hon'.... lol...

Heeee!!!
Uspende mademu wa bure ujue wana gharamaa
Iya oyaa kaa ukijua staree gharama!! oyaaa!!
Oyaaaa! kaaa ukijua starehe gharamaaaa!!

leo lii jamani!!
lazima ujipange!


Dah!!!
 
aaahha!! Kwa hiyo it means ipo?? (nimekutega padogo tu!) umeacha kutaja ulowamiss umekimbilia mambo yenu ya katiba kuhusiana na N Ndg.

love..kikatiba sijawahi kusema haipo....that would be naive......(niliowamiss ndo tatizo lake lipo hapo sasa lol)
 
love..kikatiba sijawahi kusema haipo....that would be naive......(niliowamiss ndo tatizo lake lipo hapo sasa lol)



Hny you are going to kill me one of these day you know?? (naomba tu tukapumzike for i really need you leo... sidhan if i will fall asleep without you)
 
Katika mchakato wa kubadili katiba..........FF atatuongozea kamati ya kutfuta maoni kwa akina AshaDii.
samahani kuingilia mjadala.

Aseee!!!
Wifi ako anakusalimu!
kalala kama mtoto leo...unajua kakako najua kutoa dose iletayo usigizi.


Biggie huu mjadala unakuhusu kabisa bana maana utu uzima dawa....lol

Nimefurahi kua Wifi ni mzima, na mda ulotuma hii post yaonesha ulitoka
kumtendea haki tena kikamilifu it seems.. (kama ulivosema dawa unayo ya kutosha!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…