Madabwada
JF-Expert Member
- May 8, 2009
- 541
- 320
Usijali Madabwada... Nimekupata kabisa and Again... happy to see you....
... me too ... keep on being gud!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali Madabwada... Nimekupata kabisa and Again... happy to see you....
Maria Roza jina ni kubwa saana na nilifahamu jina kabla hata yeye... I think nae huyu inabidi ajieleze why kapotea hivi...
Nimelisoma sredi nimeshindwa kumaliza........ ila page zote 14 sijaona mtu aliyem-miss ODM! Hii inamaana leo lazima nikanywe sumu.......Kwaherini nyote
Mkiwaona Keren_Happuch na Maria Roza muwaambie nilipita hapa kuwaulizia. Wamtafute Nguli na Baba Enock popote pale walipo wawape salamu zangu. Bila kumsahau MjasiriaMaliShupavu.
Hawa hata ijui kama wanajua kuwa Chetuntu hatunaye tena (RIP dada yangu).
Ngoja nirudi Bilicanas nikamalizie maongezi yangu na Mbowe, anataka kukodisha helikopta yangu.
There is also the lovely Pauline.........................the list seems endlessly............
Nani amekuja huku kitandani mwa babu?Nadhani tumwache Bigi apumzike kwa Amani, kwa niaba ya ODM.....
Case closed! Nenda kwa Bigirita, hili limjamaa lilifikiri limekuibia Colgate kumbe aftershave.......... nlishangaa sana asubuhi aliponipigia simu eti yuko kwa dentist......... kumbe aftershave na meno ni sawa na PAW na Matusi.Sasa mbona tangu TF ameleta hizi habari mkuu Kaizer hatumuoni kujibu hzi tuhma? halaf pia msisahau kuna mtu kaondoka na aftershave yangu kwenye party, na nasuspect sana ni TF au babu aspirini.
Nimelisoma sredi nimeshindwa kumaliza........ ila page zote 14 sijaona mtu aliyem-miss ODM! Hii inamaana leo lazima nikanywe sumu.......Kwaherini nyote
Mkiwaona Keren_Happuch na Maria Roza muwaambie nilipita hapa kuwaulizia. Wamtafute Nguli na Baba Enock popote pale walipo wawape salamu zangu. Bila kumsahau MjasiriaMaliShupavu.
Hawa hata ijui kama wanajua kuwa Chetuntu hatunaye tena (RIP dada yangu).
Ngoja nirudi Bilicanas nikamalizie maongezi yangu na Mbowe, anataka kukodisha helikopta yangu.
Napenda kuwafahamisha hommies wangu na shem langu la ukweli, wapiga chabo na masharobaro wa JF MMU, wajukuu wakorofi na watukutu kuwa nimebadili wazo langu la kunywa sumu............Hii ni baada ya kuukubali wito wa rafiki yangu mpendwa Fixed Point.Rafiki usinywe sumu, nahisi watu tunaokumiss ndo ambao hatukuwa hewani................ jua tu nawe unamissiwa sana tu.
haya wahi kwa Mbowe na uje kutuambia kama dili limesainiwa au la
AshaDii na wengine humu MMU muamini kuwa mimi pia nawamiss sana, ila sasa majukumu mengine wakati mwingine yanafanya mtu ujikute unakatisha miezi kadhaa bila kuingia JF.
Tunashukuru kwa kutukumbuka, tupo pamoja.
Nimebadili mawazo Shem......halafu hebu naomba unambie, inakuwaje unaanzisha huu myuziful sredi wa kumisiana afu hunistui mapema? Watu wameniwahi kuwamisi ninaowamisi mimi, hii si haki kabisa............BTW hommie kaamka? Jana alifakamia konyagi ya baridi wakati hajala. Akiamka mwambie anywe chai ya rangi atafunie matango, vitamsaidia kutoa hangover.Dah! pole saaana Shemeji yangu naona umemkumbuka tena Chetuntu.... it will take time najua but Mungu aendelee tena kukupa AMANI.
Ila kidogo nina swali... unakodi helikopta ya nini hali unampango wa kujiua?? Nataka nijue ratiba ili tuende woote siwezi kubali hio safari uende peke yako... tutakunywa wote sumu tufe woote (ngoja tu nikaombe ruhusa kwa Sweetie...)
ha haaaaaaa, Thank God nimefanikiwa kusave maisha ya rafiki yangu............. hapa nilikuwa nasali usome ile post kabla hujanywa hiyo sumu. sasa anza kuniimbia leo ni hepi besdei yangu.Napenda kuwafahamisha hommies wangu na shem langu la ukweli, wapiga chabo na masharobaro wa JF MMU, wajukuu wakorofi na watukutu kuwa nimebadili wazo langu la kunywa sumu............Hii ni baada ya kuukubali wito wa rafiki yangu mpendwa Fixed Point.
Haya rafiki hebu niambie ulikuwa wapi siku zote?
Thank you again AshaDii, naamini tutakuwa pamoja kila nitakapopata nafasi.Fixed point i have a feeling angalau tutakua sasa tunakuona dear... AGAIN... Welcome back na onbehalf ya wana MMU Tumefurahi....
Speaker yupo,..alibadilisha jina.
Ni transition tu ya kuelekea kutumia jina lake halisi.
Kwa sasa anaitwa Clemmy na avatar yake ni
ya mdada siku hizi,watu wana ipenda kweli hiyo avatar.lol
Clemmy are you saying wewe ni female?? OR nimekusoma vibaya??
Khaaaaaaaaa!No way. haha,but my avatar is "female".
But watu wanapenda avatar yangu so they think i'm. Lots of PMs haha
Nimebadili mawazo Shem......halafu hebu naomba unambie, inakuwaje unaanzisha huu myuziful sredi wa kumisiana afu hunistui mapema? Watu wameniwahi kuwamisi ninaowamisi mimi, hii si haki kabisa............BTW hommie kaamka? Jana alifakamia konyagi ya baridi wakati hajala. Akiamka mwambie anywe chai ya rangi atafunie matango, vitamsaidia kutoa hangover.
Hii naona inahitaji sredi ya kujitegemea, hata hivyo ngoja nikupe haki yako:ha haaaaaaa, Thank God nimefanikiwa kusave maisha ya rafiki yangu............. hapa nilikuwa nasali usome ile post kabla hujanywa hiyo sumu. sasa anza kuniimbia leo ni hepi besdei yangu.
rafiki nipo tu huku duniani, majukumu yananikimbiza
Khaaaaaaaaa!
Kwahiyo kila siku navyokuPM tunapanga tukutane afu unanipotezea kumbe weye dume........... Kweli JF zaidi ya niijuayo. Mtu akimwona klorokwini tafazali amwambie mapema asijeumbuka..........Nakumbuka aliniomba nimfanyie mpango kwa Clemmy.
Afu na wewe ndo nini kutoa siri zetu za kwenye PM hazarani namna hii........... Ngoja nicheki na PAW, hii ni kinyume na taratibu za JF jukwaa la kutongozana
Hii naona inahitaji sredi ya kujitegemea, hata hivyo ngoja nikupe haki yako:
Hodi kwako maulana,
Mlango usijebana,
Kwa marefu na mapana,
Kumuombea rafiki
Hepi besdei dia Friend!
Na ODM a.k.a Bigi Braza babu Asprin
Kaunta Ya Juu
King Star!
Hakuna hisia tamu kama kujua kuna mtu mahali fulani anakufikiria na amekukosa sana. Mi binafsi nimefarijika sana na uzi huu uliorushwa kwa ajili yetu. Nimejisikia kupendwa na kuthaminiwa. Nimejisikia kama sehemu ya hii familia njema ya jf.
Nakuombea heri mdada na Mungu akuongezee upendo. Natamani nikufahamu kwa ukaribu zaidi mpendwa wangu. Uwe na jioni njema.