"MMU Misses you Sooo Much"

"MMU Misses you Sooo Much"

GOD IS VERY BUSY.....can i help you??..
Sure............ can you tell Him to listen to ordinary citizen please!!
We dont understand why CCM is still in power and He is up there enjoying himself while we the ordinary citizen Tunataaika!!
 
Habari wana JF...

Ni wazi kua we have got lives beyond hapa JF.... Na ni wazi kua majukumu ni mengi katika jamii ambayo kwa kweli mara nyingi ndio first priorities katika maisha yetu kuliko hata hapa Jamvini... However inapotokea kua Members ambao ni wanafamilia wa hapa MMU wamepotea kitambo... Kuna baadhi ya members hasa sie wanafamilia wa MMU (Mfano mimi) hutokea kwamba Tumewa MISS.... Nyie watu (wanafamilia ya MMU) Popote kule mlipo msitegemee kukaa kwenu kimya basi na rohoni na akilini kwetu hampo!!! ACHENI kutesa mioyo yetu na agalau mtutembelee walau hata post moja tu kwa Week kuhakikisha kua kweli ni wazima wa Afya na kwamba Mwaendelea vizuri... Hivo basi naomba nitaje baadhi ya ambao nimewakumbuka kwa mda huu.... Wale ambao nimesahau kutaja naomba fellow members tukumbushane... Walau waelewe kua We REALLY MISS THEM..... (At lease I do...)
  1. Michelle
  2. Eiyer
  3. Gaga (I kno u ar fine but jamvini sijakuona mda)
  4. Stevie Dii
  5. Mestod
  6. Bacha
  7. CPU
  8. Lizzy
  9. Gagurito
  10. Manumbu
  11. Pearl
  12. Belinda Jacob
  13. Magulumalu
  14. Mentor
  15. First Lady
  16. Zion Daghter
  17. Maty (simuoni kabisa naona tu likes...lol)
  18. Dinnah
  19. Kbd
  20. Rev Masanilo
  21. Cheusi Mangala (thou she is back)
  22. Okada
  23. Elia
  24. Sharohiphop
  25. Aisha Adam
  26. Samora10
  27. Vikwazo
  28. The Dirty Paka
  29. Madabwada
  30. KonaKali
  31. Mayassa
  32. Kaka Mpendwa
  33. Fixed Point (thank God tumemuona)
  34. Kaka Mpendwa
  35. Memo
  36. Woman of Substance
  37. Mohammed Shossi
  38. Nnunu
  39. Maria Roza
  40. Nyamayao
  41. Suzy
  42. Mkwaruzo
  43. Yeshua Harmaleck
  44. Prodigy Son
  45. Young Corporate
  46. Journe Gwalu (wee jamaa upo but kwa manati mno)
  47. Carmel
  48. Smiles
  49. Pauline
  50. Wilbard (Unakuja unaishia nje... MMU needs u)
  51. Son of Alaska
  52. Senti 50
  53. Mynameisyourname

Naamini ni wengi na wengine nimewasahau... Ama siwafahamu tokana na Ukweli kua MMU haijaanza juzi... I repeat Members wengine tutasaidiana kukumbushana (kwa wataopenda)

(This Post has been written with Lots of Love.....)

Pamoja Saana

AshaDii.

Majukumu jamani ,tuombeane.Lakn nitakuwa ninachungulia
 
Majukumu jamani ,tuombeane.Lakn nitakuwa ninachungulia

Nimefurahi saana kukuona bana.... Pole saana na majukumu na Asante kwa heshima kwa wana MMU Kuyaweka pembeni na kutuondoa wasi wasi.... ZD I hope pamoja na kusema umebanwa all is well and good... Karibu saana Dear... (kuna members waliku Miss - watafurahi saana kukuona)
 
Am coming back home Adii!

hahahaha..... Naona it is a perfect ded hasa ukizingatia hapa MMU we miss you.... Karibu JG.. Nimefurahi saana kukuona.... Walau wewe huwa waonekana thou kwa manati.... but bana iwe walau mara nyingi... Regards with love kwa Malaika.
 
Last edited by a moderator:
Thanks AD...just been a bit tied up lately!!

Lizzy tumekumiss Dear... hasa ukizingatia ni mchangiaji mzuri saana... yawezekana kuliko hata woote katika list nilotaja wee huwa umetuzoesha kuwepo mara nyingi saana. Na members sasa tulishaanza kua na wasi wasi (inabidi ukawatulize pale lounge room a.k.a Chit Chat maana kuna watu wamkosa Amani kabisa). Nimefurahi kukuona.... Welcome Back...
 
lizzy tumekumiss dear... Hasa ukizingatia ni mchangiaji mzuri saana... Yawezekana kuliko hata woote katika list nilotaja wee huwa umetuzoesha kuwepo mara nyingi saana. Na members sasa tulishaanza kua na wasi wasi (inabidi ukawatulize pale lounge room a.k.a chit chat maana kuna watu wamkosa amani kabisa). Nimefurahi kukuona.... Welcome back...
kweli sis yaani kuhusu lizzy mimi niliona ninyamaze tu ila leo amenifanya nione siku katika mwanga bora-welcome lizzy
 
Lizzy tumekumiss Dear... hasa ukizingatia ni mchangiaji mzuri saana... yawezekana kuliko hata woote katika list nilotaja wee huwa umetuzoesha kuwepo mara nyingi saana. Na members sasa tulishaanza kua na wasi wasi (inabidi ukawatulize pale lounge room a.k.a Chit Chat maana kuna watu wamkosa Amani kabisa). Nimefurahi kukuona.... Welcome Back...
Thank you again dearest!!Ntajitahidi niwe nachungulia chungulia now and then mpaka ntakapopata fursa ya kurudi mzima mzima!!!

kweli sis yaani kuhusu lizzy mimi niliona ninyamaze tu ila leo amenifanya nione siku katika mwanga bora-welcome lizzy

Hahhahaha...Bebii asante kwa kunifurahisha...kicheko changu cha kwanza siku ya leo kimetoka kwako!!
 
Thank you again dearest!!Ntajitahidi niwe nachungulia chungulia now and then mpaka ntakapopata fursa ya kurudi mzima mzima!!!

Good!! Fanya hivo tafadhali... tunakusubiri kwa hamu dear...
 
hahahaha..... Naona it is a perfect ded hasa ukizingatia hapa MMU we miss you.... Karibu JG.. Nimefurahi saana kukuona.... Walau wewe huwa waonekana thou kwa manati.... but bana iwe walau mara nyingi... Regards with love kwa Malaika.

Hahaha pamoja wangu!
Yaani bwana mwenzio nilitekwa nyara na Funza Dume kule kwenye jukwaa lake la JEHANAMU hahahaha...!
But baada ya maombi makali sana ya watu wa MUNGU, nimekuwa huru sasa na nimerudi NYUMBANI!!
Siondoki tena!
 
Dah!! Yaani you have cracked ME Up!! lol.... Naona kidogo tukupoteze eeeh?? WELCOME back bana.. tunashukuru Maombi yamefanya kazi.
 
Nimegundua.......

Ngoja na mie niingie mitini mpaka nianzishiwe sredi ndo niibuke tena.

Ntakuwa natumia ile ID nyingine.

Kwaherini kwa sasa wandugu.
 
Nimegundua.......

Ngoja na mie niingie mitini mpaka nianzishiwe sredi ndo niibuke tena.

Ntakuwa natumia ile ID nyingine.

Kwaherini kwa sasa wandugu.

Utakua huru kupokea simu nitakayo kua napiga kila every 30 mins?? Kama ni hivo ruhusa kupotea....lol... (kumbuka sheria za zile alter IDs huwa hazigusi MMU labda kama una register ya 13)
 
Good!! Fanya hivo tafadhali... tunakusubiri kwa hamu dear...
Will do....

Nimegundua.......

Ngoja na mie niingie mitini mpaka nianzishiwe sredi ndo niibuke tena.

Ntakuwa natumia ile ID nyingine.

Kwaherini kwa sasa wandugu.
We babu hakumiss mtu mpaka siku utakapoacha kufagilia infii...untill then keep on dreaming!
 
Back
Top Bottom