"MMU Misses you Sooo Much"

"MMU Misses you Sooo Much"

Maria Roza jina ni kubwa saana na nilifahamu jina kabla hata yeye... I think nae huyu inabidi ajieleze why kapotea hivi...

There is also the lovely Pauline.........................the list seems endlessly............
 
Nimelisoma sredi nimeshindwa kumaliza........ ila page zote 14 sijaona mtu aliyem-miss ODM! Hii inamaana leo lazima nikanywe sumu.......Kwaherini nyote

Mkiwaona Keren_Happuch na Maria Roza muwaambie nilipita hapa kuwaulizia. Wamtafute Nguli na Baba Enock popote pale walipo wawape salamu zangu. Bila kumsahau MjasiriaMaliShupavu.

Hawa hata ijui kama wanajua kuwa Chetuntu hatunaye tena (RIP dada yangu).

Ngoja nirudi Bilicanas nikamalizie maongezi yangu na Mbowe, anataka kukodisha helikopta yangu.
 
AshaDii na wengine humu MMU muamini kuwa mimi pia nawamiss sana, ila sasa majukumu mengine wakati mwingine yanafanya mtu ujikute unakatisha miezi kadhaa bila kuingia JF.
Tunashukuru kwa kutukumbuka, tupo pamoja.
 
Rafiki usinywe sumu, nahisi watu tunaokumiss ndo ambao hatukuwa hewani................ jua tu nawe unamissiwa sana tu.
haya wahi kwa Mbowe na uje kutuambia kama dili limesainiwa au la
 
Pauline yule binti alipigwa BAN... Hivi ni permanent ama temporally.... ila kuna member wanafanana saana post nae ni mtaalam wa BAN... I think she is here under another ID....
 
Nadhani tumwache Bigi apumzike kwa Amani, kwa niaba ya ODM.....
Nani amekuja huku kitandani mwa babu?

Sasa mbona tangu TF ameleta hizi habari mkuu Kaizer hatumuoni kujibu hzi tuhma? halaf pia msisahau kuna mtu kaondoka na aftershave yangu kwenye party, na nasuspect sana ni TF au babu aspirini.
Case closed! Nenda kwa Bigirita, hili limjamaa lilifikiri limekuibia Colgate kumbe aftershave.......... nlishangaa sana asubuhi aliponipigia simu eti yuko kwa dentist......... kumbe aftershave na meno ni sawa na PAW na Matusi.

Ngoja nikamtafute Wiselady popote pale alipo nimwambie nlivyommisi.
 
Nimelisoma sredi nimeshindwa kumaliza........ ila page zote 14 sijaona mtu aliyem-miss ODM! Hii inamaana leo lazima nikanywe sumu.......Kwaherini nyote

Mkiwaona Keren_Happuch na Maria Roza muwaambie nilipita hapa kuwaulizia. Wamtafute Nguli na Baba Enock popote pale walipo wawape salamu zangu. Bila kumsahau MjasiriaMaliShupavu.

Hawa hata ijui kama wanajua kuwa Chetuntu hatunaye tena (RIP dada yangu).

Ngoja nirudi Bilicanas nikamalizie maongezi yangu na Mbowe, anataka kukodisha helikopta yangu.

Dah! pole saaana Shemeji yangu naona umemkumbuka tena Chetuntu.... it will take time najua but Mungu aendelee tena kukupa AMANI.

Ila kidogo nina swali... unakodi helikopta ya nini hali unampango wa kujiua?? Nataka nijue ratiba ili tuende woote siwezi kubali hio safari uende peke yako... tutakunywa wote sumu tufe woote (ngoja tu nikaombe ruhusa kwa Sweetie...)
 
Rafiki usinywe sumu, nahisi watu tunaokumiss ndo ambao hatukuwa hewani................ jua tu nawe unamissiwa sana tu.
haya wahi kwa Mbowe na uje kutuambia kama dili limesainiwa au la
Napenda kuwafahamisha hommies wangu na shem langu la ukweli, wapiga chabo na masharobaro wa JF MMU, wajukuu wakorofi na watukutu kuwa nimebadili wazo langu la kunywa sumu............Hii ni baada ya kuukubali wito wa rafiki yangu mpendwa Fixed Point.

Haya rafiki hebu niambie ulikuwa wapi siku zote?
 
AshaDii na wengine humu MMU muamini kuwa mimi pia nawamiss sana, ila sasa majukumu mengine wakati mwingine yanafanya mtu ujikute unakatisha miezi kadhaa bila kuingia JF.
Tunashukuru kwa kutukumbuka, tupo pamoja.

Fixed point i have a feeling angalau tutakua sasa tunakuona dear... AGAIN... Welcome back na onbehalf ya wana MMU Tumefurahi....
 
Dah! pole saaana Shemeji yangu naona umemkumbuka tena Chetuntu.... it will take time najua but Mungu aendelee tena kukupa AMANI.

Ila kidogo nina swali... unakodi helikopta ya nini hali unampango wa kujiua?? Nataka nijue ratiba ili tuende woote siwezi kubali hio safari uende peke yako... tutakunywa wote sumu tufe woote (ngoja tu nikaombe ruhusa kwa Sweetie...)
Nimebadili mawazo Shem......halafu hebu naomba unambie, inakuwaje unaanzisha huu myuziful sredi wa kumisiana afu hunistui mapema? Watu wameniwahi kuwamisi ninaowamisi mimi, hii si haki kabisa............BTW hommie kaamka? Jana alifakamia konyagi ya baridi wakati hajala. Akiamka mwambie anywe chai ya rangi atafunie matango, vitamsaidia kutoa hangover.
 
Napenda kuwafahamisha hommies wangu na shem langu la ukweli, wapiga chabo na masharobaro wa JF MMU, wajukuu wakorofi na watukutu kuwa nimebadili wazo langu la kunywa sumu............Hii ni baada ya kuukubali wito wa rafiki yangu mpendwa Fixed Point.

Haya rafiki hebu niambie ulikuwa wapi siku zote?
ha haaaaaaa, Thank God nimefanikiwa kusave maisha ya rafiki yangu............. hapa nilikuwa nasali usome ile post kabla hujanywa hiyo sumu. sasa anza kuniimbia leo ni hepi besdei yangu.
rafiki nipo tu huku duniani, majukumu yananikimbiza
 
Fixed point i have a feeling angalau tutakua sasa tunakuona dear... AGAIN... Welcome back na onbehalf ya wana MMU Tumefurahi....
Thank you again AshaDii, naamini tutakuwa pamoja kila nitakapopata nafasi.
 
Speaker yupo,..alibadilisha jina.
Ni transition tu ya kuelekea kutumia jina lake halisi.
Kwa sasa anaitwa Clemmy na avatar yake ni
ya mdada siku hizi,watu wana ipenda kweli hiyo avatar.lol

Clemmy are you saying wewe ni female?? OR nimekusoma vibaya??

No way. haha,but my avatar is "female".
But watu wanapenda avatar yangu so they think i'm. Lots of PMs haha
Khaaaaaaaaa!

Kwahiyo kila siku navyokuPM tunapanga tukutane afu unanipotezea kumbe weye dume........... Kweli JF zaidi ya niijuayo. Mtu akimwona klorokwini tafazali amwambie mapema asijeumbuka..........Nakumbuka aliniomba nimfanyie mpango kwa Clemmy.

Afu na wewe ndo nini kutoa siri zetu za kwenye PM hazarani namna hii........... Ngoja nicheki na PAW, hii ni kinyume na taratibu za JF jukwaa la kutongozana
 
Nimebadili mawazo Shem......halafu hebu naomba unambie, inakuwaje unaanzisha huu myuziful sredi wa kumisiana afu hunistui mapema? Watu wameniwahi kuwamisi ninaowamisi mimi, hii si haki kabisa............BTW hommie kaamka? Jana alifakamia konyagi ya baridi wakati hajala. Akiamka mwambie anywe chai ya rangi atafunie matango, vitamsaidia kutoa hangover.

Shem ulikua na hali mbaya saana... Niliwasiliana na mama Matesha akaniambia na kwa hisani ya Matesha sitasema ni hali gani... Hii useful thread ilikua ni kama attack weapon ili tu-diverge attention... kuna scandal kubwa saana ambayo imetolewa na Finest... Kua ODM, Biggie, RR, King'asti, Darling Kaizer, Boss, Uporoto & Co.... mmeondoka na kujibinafsishia Crate zoote za vilevi... Mbaya zaidi mmeiba na after shave ya Lawyer Klorokwini... Sweetie kaamuka toka jana...lol.. Mie naona kuamka zako sa hizi unafikiri leo ni Sunday....lol
 
ha haaaaaaa, Thank God nimefanikiwa kusave maisha ya rafiki yangu............. hapa nilikuwa nasali usome ile post kabla hujanywa hiyo sumu. sasa anza kuniimbia leo ni hepi besdei yangu.
rafiki nipo tu huku duniani, majukumu yananikimbiza
Hii naona inahitaji sredi ya kujitegemea, hata hivyo ngoja nikupe haki yako:

Hodi kwako maulana,
Mlango usijebana,
Kwa marefu na mapana,
Kumuombea rafiki

Heri yake mefikia,
Duniani kufikia,
Mema ninamtakia
Maisha yawe matamu

Namtakia fanaka,
Maisha pasi mashaka
Afya ya uhakika
Mabaya yamwepuka

Muongezee miaka,
Isokuwa na viraka
Apate nyingi baraka
Na aishi kwa mani

Amina tena amina
Nasema tena Amina
Wote twitike Amina
Amina Amina Tena

Hepi besdei dia Friend!

Na ODM a.k.a Bigi Braza babu Asprin
Kaunta Ya Juu
King Star!
 
Khaaaaaaaaa!

Kwahiyo kila siku navyokuPM tunapanga tukutane afu unanipotezea kumbe weye dume........... Kweli JF zaidi ya niijuayo. Mtu akimwona klorokwini tafazali amwambie mapema asijeumbuka..........Nakumbuka aliniomba nimfanyie mpango kwa Clemmy.

Afu na wewe ndo nini kutoa siri zetu za kwenye PM hazarani namna hii........... Ngoja nicheki na PAW, hii ni kinyume na taratibu za JF jukwaa la kutongozana

Lmao.... Ukome na ubishi..... lol.. I think hutakua na hamu tena for very very long.... in case ulikua unamuota!
 
Hii naona inahitaji sredi ya kujitegemea, hata hivyo ngoja nikupe haki yako:

Hodi kwako maulana,
Mlango usijebana,
Kwa marefu na mapana,
Kumuombea rafiki

Hepi besdei dia Friend!

Na ODM a.k.a Bigi Braza babu Asprin
Kaunta Ya Juu
King Star!

Shem hebu do the needful "copy na kupaste hii kitu" for she deserves it... itakua a birthday na a "Welcom back thread"

Darling shem I am impressed na huo ufundi wako... dakika ngapi umetomia ku compose?? Khaaa!! Hii HATARI sasa...
 
Hakuna hisia tamu kama kujua kuna mtu mahali fulani anakufikiria na amekukosa sana. Mi binafsi nimefarijika sana na uzi huu uliorushwa kwa ajili yetu. Nimejisikia kupendwa na kuthaminiwa. Nimejisikia kama sehemu ya hii familia njema ya jf.

Nakuombea heri mdada na Mungu akuongezee upendo. Natamani nikufahamu kwa ukaribu zaidi mpendwa wangu. Uwe na jioni njema.

we kbd wewe kwa mtaji huu bora urudi huko huko nyanda za juu,lol!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom