"MMU Misses you Sooo Much"

"MMU Misses you Sooo Much"

Binti una vituko wewe....lol... yaani umenimaliza...

Jamani kwani kulia ni vituko?? Au umemkumbuka max na zembwela?? Mi kwangu leo tutanunua kacholi na miguu ya kuku tule, yaani Nemo kanifanya nishindwe kupika kweli vile!!
 
Naomba niwe mgeni wenu plzzzzzzzzz, maana hizo kacholi mpaka mate yamejaa mdomoni.
 
Jamani Speaker yuko wapiii?
Mkipata jibu mtajua kwamba kila mlie mmiss humu yumo ila
kwa sura nyingine.
 
OMG!! Kbd really?? Oooh........wellcome darling, hata we nilikumiss ujue! Ujio wako jamvini umekuwa wa baraka kwangu, karibu sana mpendwa!
 
Usijali mpendwa wangu nimerudi mazima na next time nikitaka kupotea will surely let you know. Mi penda wewe ujue!!!
 
Glad to hear that hautatutoroka tena dear, sasa wasiwasi juu yako mimi iko kwisha! Hata mie penda weye saanaa tuuu!! Naomba tugonge cheeeers!!!
 
Jamani Speaker yuko wapiii?
Mkipata jibu mtajua kwamba kila mlie mmiss humu yumo ila
kwa sura nyingine.

Tena wee Clemmy ni mfano mzuri.... unajua nisingekua na taarifa Speaker angekua kwenye list....
 
Cheeeeeeeeeeeeeeeers! Wacha tunywe kwa afya zetu bana!! (Sorry ADI, tumetoka nje ya mada kidogo, hope umetusamehe)
 
Jamani Speaker yuko wapiii?
Mkipata jibu mtajua kwamba kila mlie mmiss humu yumo ila
kwa sura nyingine.

Kweli jamani huyu mkaka yuko wapi, nimemiss ile shingo inatingishika muda wote. Kama yuko humu kwa I'd nyingine naomba mninong'oneze I'd yake mpya maana bado niko gizani.
 
Tena wee Clemmy ni mfano mzuri.... unajua nisingekua na taarifa Speaker angekua kwenye list....

Hahaha,duh inabidi tukibadilisha majina tuwe tunatoa taarifa.
Avatar ya speaker watu waliichukulia dume,...saivi watu wana isumbua avatar
yangu kweli. (wadada mna kazi kweli JF,i guess).
 
Kweli jamani huyu mkaka yuko wapi, nimemiss ile shingo inatingishika muda wote. Kama yuko humu kwa I'd nyingine naomba mninong'oneze I'd yake mpya maana bado niko gizani.

Speaker yupo,..alibadilisha jina.
Ni transition tu ya kuelekea kutumia jina lake halisi.
Kwa sasa anaitwa Clemmy na avatar yake ni
ya mdada siku hizi,watu wana ipenda kweli hiyo avatar.lol
 
OMG! Jamani kumbe wewe ndio speaker!!! Hata nisingeweza guess. Avatar yako inavutia, wacha wajanja wakutokee....:ahhahahahahaaa
 
Hahaha,duh inabidi tukibadilisha majina tuwe tunatoa taarifa.
Avatar ya speaker watu waliichukulia dume,...saivi watu wana isumbua avatar
yangu kweli. (wadada mna kazi kweli JF,i guess).

Clemmy are you saying wewe ni female?? OR nimekusoma vibaya??
 
Speaker yupo,..alibadilisha jina.
Ni transition tu ya kuelekea kutumia jina lake halisi.
Kwa sasa anaitwa Clemmy na avatar yake ni
ya mdada siku hizi,watu wana ipenda kweli hiyo avatar.lol

Heheheeeh!! I wish niwajue na wenzio ili tupunguze kuwamiss!
 
Back
Top Bottom