Wooow..Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu
kwa wale wanaotafuta kazi
kama una bachelor or adv diploma ya accounting au
business admn nitumie cv na passport size 3 kuna kazi ipo mkononi mwangu karibuni mwisho saa sita
he he he....bebii bana....mimi nina picha peke yake....nitume...?
Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu
kwa wale wanaotafuta kazi
kama una bachelor or adv diploma ya accounting au
business admn nitumie cv na passport size 3 kuna kazi ipo mkononi mwangu karibuni mwisho saa sita
acheni hzo attach ata kitambulisho cha kupiga kurawe naona hutaki tupate hiyo kazi
saa hizi ni saa nne na tangazo ndo naliona mpaka nitoke hapa nikapige picha niandike barua ya maombi na cv ni saa kumi na mbili wakati maombi mwisho ni saa sita
Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu
kwa wale wanaotafuta kazi
kama una bachelor or adv diploma ya accounting au
business admn nitumie cv na passport size 3 kuna kazi ipo mkononi mwangu karibuni mwisho saa sita
Kid sis nimeipenda hii....
acheni hzo attach ata kitambulisho cha kupiga kura
Umenifurahisha sana...ubarikiwe kwa moyo wako huu..
Sis...sikujua kama familia imetanuka....
Vin ni dadako huyo... Ndo maana siku ile nilikutupia jicho kali maana niliona mnakaribisha incest...lol
mmmmh hataki kurudi kabisa