MMU special offer

MMU special offer

Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu
kwa wale wanaotafuta kazi
kama una bachelor or adv diploma ya accounting au
business admn nitumie cv na passport size 3 kuna kazi ipo mkononi mwangu karibuni mwisho saa sita
Jamani bebii sasa sisi wa huku Kantalamba tufanyaje?Tupe email yako basi//////Maana nasi twataka hiyo kazi bana eeeh.
 
jamani bebii sasa sisi wa huku kantalamba tufanyaje?tupe email yako basi//////maana nasi twataka hiyo kazi bana eeeh.
duh wewe cv yako nitaifikisha kweli duuuuh itapasua server
 
Jamani bebii sasa sisi wa huku Kantalamba tufanyaje?Tupe email yako basi//////Maana nasi twataka hiyo kazi bana eeeh.

Mkuu umenikumbusha mbali sana hapo kwenye blue hapo
Mitaa ya shule enzi hizo bana
 
Dada bebii nimeshindwa ku-attach, kwa pm, naomba msaada au nielekeze jinsi ya kufanya.
 
sasa Bebii....picha ndio nilizonazo karibu....si natanguliza kwanza then vingine vinafuata....
Wenye sura za kokoto_hapa hatupati kazi!...ila wewe Preta utajiuza kwa sura maake Cv yako imekaa ndivyo sivyo,...kwa hiyo ww tuma kwanza hizo picha
 
kama mwisho saa sita ipi sasa ya leo 10/24/2011 au kesho. kama leo mimi naomba uchukue jina langu tu kwanza liingie kwnye list ya wasahiliwa halafu nijipange kukutumia vyeti au vipi?
 
Back
Top Bottom