Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mr.Rocky..umekumbuka mbali sana..Kantalamba secondary school ya enzi hizo eeeehhh.Poa sanaMkuu umenikumbusha mbali sana hapo kwenye blue hapo
Mitaa ya shule enzi hizo bana
hapa meneja mwajiri kesha ni_disqualify,....maake tayari nimeisha mkera kwa kumuuliza kaswali,....bebii plz ni short list bhanakama hutaki acha bwana acha maswali
mpaka sasa umepokea ngapi bebii?mbona inawezekana? Mbona wengine wameweza?
Mr.Rocky..umekumbuka mbali sana..Kantalamba secondary school ya enzi hizo eeeehhh.Poa sana
Hapa nime-ku disqualify sita omba ili niwakomeshe mnikose na mkose ujuzi wangu.kama huwezi acha
Vin ni dadako huyo... Ndo maana siku ile nilikutupia jicho kali maana niliona mnakaribisha incest...lol
meneja mwajiri mkali kweli kweli mkuu.......Hapa nime-ku disqualify sita omba ili niwakomeshe mnikose na mkose ujuzi wangu.
Mkuu upo?......vip umeaaply hii offer ya da bebiiiquite right honey...
Aisee hili ni zinga la post
quite right honey...
ahahahahaaaaaaaaaaa!...umekubali mapigo ya bebii mkuu,halafu amekuwa mkali kweli kweli.Leo nimeamini Bebii ni Kigoma mwisho wa reli!
daaah bishanga nipo sirias naona hamna shida tf mbona namjua sana tena niko nae hapato be sincere nahisi bebii nia na lengo lake apate picha halisi ya the finest,bila shaka keshajaribu tactic zote za kupitia pm imeshindikana.leo utampata tu.