ahaaa lizy acha kuwakatisha tamaa wenzio mimi nilishapata siku nyingi muulize ashadii ndo shaidi mimi nilitaka tu kuwasaidia mabest zangu wa jfbebii mjanja...
Anataka kuwachunguza wakaka wa jf bila taarifa.
Kwa picha atajua nani anaonekana vipi ...mvuto muhimu.
Kwa cv atajua nani amesoma mpaka daraja lipi...kisomo muhimu na umri.
Barua atajua uwezo wako wa kujieleza na experience....ujanja muhimu.
Akishajua hayo anarudi kwenye ile list ya waliotupa ndoano kuangalia nano anakidhi vigezo na nani hakidhi vigezo.
Lolz..
hii kazi naona ni ngumu kuipata yawezekana unaangalia jina kwanza ila jua wengine vilaza, wenye sifa watuachanalitoka kidogo kutafuta picha ehe ebu nifunze jinsi ya ku-attach
Back to reality,....Bebii mjanja...
Anataka kuwachunguza wakaka wa JF bila taarifa.
Kwa picha atajua nani anaonekana vipi ...MVUTO MUHIMU.
Kwa CV atajua nani amesoma mpaka daraja lipi...KISOMO MUHIMU na UMRI.
Barua atajua uwezo wako wa kujieleza na experience....UJANJA MUHIMU.
Akishajua hayo anarudi kwenye ile list ya waliotupa ndoano kuangalia nano anakidhi vigezo na nani hakidhi vigezo.
LOLZ..
kwani proffesion yako ni ipi naweza kukupa kaupendeleo atii?
ebo ..ngoja nitume cv miee..naweza kukuta mdada yupo lonely nikalaBebii, Utani siyo mzuri wakati mwingine!
Post saa tatu na nusu - mwisho wa maombi ya kazi saa sita? Ninahisi harufu ya rushwa ya (NGONO)
picha muhimu
Bebii mjanja...
Anataka kuwachunguza wakaka wa JF bila taarifa.
Kwa picha atajua nani anaonekana vipi ...MVUTO MUHIMU.
Kwa CV atajua nani amesoma mpaka daraja lipi...KISOMO MUHIMU na UMRI.
Barua atajua uwezo wako wa kujieleza na experience....UJANJA MUHIMU.
Akishajua hayo anarudi kwenye ile list ya waliotupa ndoano kuangalia nano anakidhi vigezo na nani hakidhi vigezo.
LOLZ..
mimi sitafuti mchumba bwana nikitaka mchumba naweka thread yake hapa tu kawaida ujue nabii hakubaliki kwaounatafuta mchumba kisiasa baby? Ww mtoto kitchen party yako inabidi tukaifanyie ukonga gerezani na kungwi awe mke wa mkuu wa gereza. Mj1,adi, swtlady na nyamayao hawakuwezi
ahahahaaaaaaa!ebo ..ngoja nitume cv miee..naweza kukuta mdada yupo lonely nikala
mimi sitafuti mchumba bwana nikitaka mchumba naweka thread yake hapa tu kawaida ujue nabii hakubaliki kwao
Mi napika chips kwen kijiwe cha sweetie, naweza kupendelewa kwa hali hii?
picha yoyote au yangu? kama yangu umeolewa? kama hujaolewa kwaheri!!picha muhimu
mimi mwenyewe nilishashtukaBebii mjanja...
Anataka kuwachunguza wakaka wa JF bila taarifa.
Kwa picha atajua nani anaonekana vipi ...MVUTO MUHIMU.
Kwa CV atajua nani amesoma mpaka daraja lipi...KISOMO MUHIMU na UMRI.
Barua atajua uwezo wako wa kujieleza na experience....UJANJA MUHIMU.
Akishajua hayo anarudi kwenye ile list ya waliotupa ndoano kuangalia nano anakidhi vigezo na nani hakidhi vigezo.
LOLZ..
keshawapata kibao nina uhakikaUnatafuta mchumba kisiasa baby? Ww mtoto kitchen party yako inabidi tukaifanyie ukonga gerezani na kungwi awe mke wa mkuu wa gereza. Mj1,adi, swtlady na nyamayao hawakuwezi
saint ????????????????????? Sipo lonely bwana
Kaka,plz don't. Huyu mtoto bado tuna kisa nae,sweetie wako atahuzunika
sasa kazi gani unamwambia mtu kuwa hata kama hana vyeti atume picha tu ...ni kazi ya u modo? au houseboysaint ????????????????????? Sipo lonely bwana
Yeeeeah RIGHT!!ahaaa lizy acha kuwakatisha tamaa wenzio mimi nilishapata siku nyingi muulize ashadii ndo shaidi mimi nilitaka tu kuwasaidia mabest zangu wa jf
Back to reality,....
1.Mimi sura ya kokoto...hivyo mvuto zero
2.Nimesoma mpaka form three(3),..na nina 54yrs...hapo nafikiri kidogo nina vi_marks
3.Kwa sababu ni mtz_kujiexpress ni kama kawa...hapa ujanja ndio ntakapo zoa marks kufidia za hapo juu nilipopata zero.
kama hamtaki aacheni bwana watu kibao wanatafuta kazi pia nitakuwa siwapi tena madeal hapayeeeeah right!!
Kazi ambayo hata muombaji hajulishwi ni kazi gani....we bana we.
Hhheheheheh
1.pole yako.
2.unaweza fidia kwa pesa...maana sio kila mwenye nazo amesoma.
3.hongera!!
Sasa subiria kuona kama utaitwa kwenye interview.
Wifi usisahau cv huwa inasema marital status,lol
Nakungojea kule kwa zawadi,mbona wanweka roho juu jamani?
lizzy bwana sina mbavu hapa loh?hahahaha...hiyo nilisahau wifi....
Alafu na address kwahiyo anaweza jikuta ana''pass by'' kuona mshkaji anapo/anavyoishi..
Details zote zinatolewa kwa hiari wakati wangeulizwa kiuwazi wangechapia.
Wifi zawadi atakuja tu usijali...sema sasa hivi nna mikazi kibao ya kuandika kwaajili ya shule kwahiyo mori wote unaishia huko.