kama hamtaki aacheni bwana watu kibao wanatafuta kazi pia nitakuwa siwapi tena madeal hapa
Mimi yangu ndio ninaiandaa,..kesho ntaituma bebiimbona yako siioni muda unaisha ohooo???????????
King'asti dear....ndo maana nimesma 'no thanks' si qualify jamani...kazi nloajiriwa na sweetie inantosha kabisa...how r u lakini?
lizzy bwana sina mbavu hapa loh?
Hahaha! Umenena vema mke mwe'....huyu kweli hatumuwezi....Unatafuta mchumba kisiasa baby? Ww mtoto kitchen party yako inabidi tukaifanyie ukonga gerezani na kungwi awe mke wa mkuu wa gereza. Mj1,adi, swtlady na nyamayao hawakuwezi
Hahahaha...hiyo nilisahau wifi....
Alafu na address kwahiyo anaweza jikuta ana''pass by'' kuona mshkaji anapo/anavyoishi..
Details zote zinatolewa kwa hiari wakati wangeulizwa kiuwazi wangechapia.
Wifi Zawadi atakuja tu usijali...sema sasa hivi nna mikazi kibao ya kuandika kwaajili ya shule kwahiyo mori wote unaishia huko.
Aisee bi dada hebu nisaidie jinsi ya ku un do PM, bebii akiona sura yangu atakua anaruka hata post zangu. LolHahaha,cv iseme address tandale inawekwa pembeni fastaa! Pole na shule wifi,inshaallah ngoja nivute subra japo roho inantoka.nshasoma hadithi mara kadhaa,lol
ahahaa kingast tandale ndo wapi?
Aisee bi dada hebu nisaidie jinsi ya ku un do PM, bebii akiona sura yangu atakua anaruka hata post zangu. Lol
Hahaha,cv iseme address tandale inawekwa pembeni fastaa! Pole na shule wifi,inshaallah ngoja nivute subra japo roho inantoka.nshasoma hadithi mara kadhaa,lol
Hahaha ngoja nichonge na Paw otherwise bebii atatumia picha yangu kama avatar! Uh!Lol! Inabidi um-seduce paw kwanza ndo akusaidie. Otherwise muambie huyo ni mshkaji wako ulimuomba picha zake uombee kazi coz studio walikuambia urudi aftr 5 days
mi naona muda ndo interview yenyewe,ungefanya fasta kama una sifa ila mi najua Bebii alikuwa amepewa kazi ya kufanya utafiti wa idadi ya watu ambao hawana kazi waliomo humu jf na uwezo wao wa kufuatilia fursa adimuWe naona hutaki tupate hiyo kazi
Saa hizi ni saa nne na tangazo ndo naliona mpaka nitoke hapa nikapige picha niandike barua ya maombi na cv ni saa kumi na mbili wakati maombi mwisho ni saa sita