MMU special offer

MMU special offer

Can't complain kaka,I keep on pushing through.I'm glad umekataa ila ulipotaja mgahawa wa wifi nikastuka kidogo. Nimewamisi,hivi futari ni hadi mwezi mtukufu? nimejialika kwenu wknd ijayo

King'asti dear....ndo maana nimesma 'no thanks' si qualify jamani...kazi nloajiriwa na sweetie inantosha kabisa...how r u lakini?
 
Unatafuta mchumba kisiasa baby? Ww mtoto kitchen party yako inabidi tukaifanyie ukonga gerezani na kungwi awe mke wa mkuu wa gereza. Mj1,adi, swtlady na nyamayao hawakuwezi
Hahaha! Umenena vema mke mwe'....huyu kweli hatumuwezi....
 
heheheh....na mie ntatumia hii mbinu siku moja.
Yani unawakamata pazuri kweli maana hawatadanganya chochote!!
ila mimi simtegi mtu hapa nina kazi siriaz
 
Hahaha,cv iseme address tandale inawekwa pembeni fastaa! Pole na shule wifi,inshaallah ngoja nivute subra japo roho inantoka.nshasoma hadithi mara kadhaa,lol
Hahahaha...hiyo nilisahau wifi....
Alafu na address kwahiyo anaweza jikuta ana''pass by'' kuona mshkaji anapo/anavyoishi..
Details zote zinatolewa kwa hiari wakati wangeulizwa kiuwazi wangechapia.

Wifi Zawadi atakuja tu usijali...sema sasa hivi nna mikazi kibao ya kuandika kwaajili ya shule kwahiyo mori wote unaishia huko.
 
hahaha,cv iseme address tandale inawekwa pembeni fastaa! Pole na shule wifi,inshaallah ngoja nivute subra japo roho inantoka.nshasoma hadithi mara kadhaa,lol
ahahaa kingast tandale ndo wapi?
 
Hahaha,cv iseme address tandale inawekwa pembeni fastaa! Pole na shule wifi,inshaallah ngoja nivute subra japo roho inantoka.nshasoma hadithi mara kadhaa,lol
Aisee bi dada hebu nisaidie jinsi ya ku un do PM, bebii akiona sura yangu atakua anaruka hata post zangu. Lol
 
Lol! Inabidi um-seduce paw kwanza ndo akusaidie. Otherwise muambie huyo ni mshkaji wako ulimuomba picha zake uombee kazi coz studio walikuambia urudi aftr 5 days

Hahahahahah...
Tandale....Mbagaraaaa hata kama ameuza rekodi tupa kule!!!

Asante wifi....pole na wewe kwa kusubiri!!
 
Lol! Inabidi um-seduce paw kwanza ndo akusaidie. Otherwise muambie huyo ni mshkaji wako ulimuomba picha zake uombee kazi coz studio walikuambia urudi aftr 5 days
Hahaha ngoja nichonge na Paw otherwise bebii atatumia picha yangu kama avatar! Uh!
 
We naona hutaki tupate hiyo kazi
Saa hizi ni saa nne na tangazo ndo naliona mpaka nitoke hapa nikapige picha niandike barua ya maombi na cv ni saa kumi na mbili wakati maombi mwisho ni saa sita
mi naona muda ndo interview yenyewe,ungefanya fasta kama una sifa ila mi najua Bebii alikuwa amepewa kazi ya kufanya utafiti wa idadi ya watu ambao hawana kazi waliomo humu jf na uwezo wao wa kufuatilia fursa adimu
 
Swali kwako dada Bebii na wadada ruhusa kuapply?
- Ni aina gani ya kazi (hapa itategemea na nilichosomea)
 
swali kwako dada bebii na wadada ruhusa kuapply?
- ni aina gani ya kazi (hapa itategemea na nilichosomea)
aiyaaa????????? Mbona unanitafutia ban we mwanamke mwenzangu ? Una maana gani kuniuliza ivyo?
 
Duh!! Nilidhani nimeshachelewa kumbe mwajiri ka xtendi mda!!? Ok mm nina phd 1 ya mambo ya unyumba, stashahada ya kat...ro na umwagiliaji maji, sura inaripa kama mkuu wa magamba!!
Je da Bebii na mimi niaply/nitume doc?
 
Back
Top Bottom