MMU thread ya kufungia mwaka

tatizo kuanzia kiunoni kuja down na wewe una pepo mmoja mkorofi huyo

akikutana na huyu nliyenaye
itabidi tuite zima moto
Hakuna haja ya kuita zima moto pepo mmoja lazima atamtii mwenzake na kukubali atendewe...
 
shkamoooooo babu. Bibi hajambo?

Marahaba kajukuu...mzima wewe??.....

Babu kafurahi sana leo na baraka zake zote unazo...Uenende kwa amani...Ila uwe mwangalifu na makuwadi wa yale mambo muhimu ili hazina yako isiingiliwe na panya!!!

Mkuu unasema dada (red hapo), hivi unaamini Kongosho ni mdada? what makes you think so? angalia mzee!

Kwani siyo dada??.....Mbona tulishakubaliana atakuwa Dada Mkuu ili awachunge wadogo zake??

Au ndo mwendo wa dume kuvamia ndani ya bweni la mabinti??...ila niliambiwa enzi zetu kuwa kujiingiza kwenye girls' hostel ni sawa na kujiweka kitanzi....!!

Nitajtahidi nitafute njia ya kumuokoa...Me love all of my wajukuu!!

marhabaaaaaaaaaa mjukuu,nikupe peremende?

Huu sasa ni wizi wa copy right.....Nitaomba msaada kwa uncle Klorokwini!!

Hivi umaarufu ni hoja?
Au hoja ni umaarufu wa kitu gani?
Hata Matonya ni maarufu
dont shoot, nina evening insanity syndrome

Hata mie sielewi...Hili jamvi lina celeb mmoja tu...Invisible...wengine wanauza sura tu...

Ukiulizwa, wambie kasema Babu DC wa 1947!!
 
Wee mwali, hebu rudi chumbani
kuna mibazazi inakunyemelea
hasa bishanga na eiyer
tafazali kongosho! Halafu Mungu anisamehe huyu memba 'Mwali' nahisi kama namfahamu, different ID?
 
Ha ha ha,
hata shetani kashangaa
hajakufundisha za ivo
sasa hivi na shetani anajifunza toka kwako

Hakuna haja ya kuita zima moto pepo mmoja lazima atamtii mwenzake na kukubali atendewe...
 
Nimemtoa Bishanga, Sweetlady, Boss na waumini wengine 70...

wantoa pepo weye? Wanjua mie?allllaaaaaa Bwana asifiwe,kumbeeeeee!!!!huyu TF naona ka vile baada ya kukimbiwa na SL kachanganyikiwa,hahahahahaaaaa!!!!!!
 
Mie napita tu,ila natakujua nyie mmu kwanini wadada wengi hawapendi kuvaa mipara yao ile(ya kike mfano lady pepeta)ukiwaambia ugomvi,kwanini kondom zinatofautiana bei,na ubora ni tofauti
 
Unataka limpalie kooni?
Na asilivae tu
utajibeba
Mie napita tu,ila natakujua nyie mmu kwanini wadada wengi hawapendi kuvaa mipara yao ile(ya kike mfano lady pepeta)ukiwaambia ugomvi,kwanini kondom zinatofautiana bei,na ubora ni tofauti
 
hajawahi kuwa mzima
ila huwa kina msimu tu
na sasa ndo msimu wake
kweli kifaduro kinamtesa sana TF

wantoa pepo weye? Wanjua mie?allllaaaaaa Bwana asifiwe,kumbeeeeee!!!!huyu TF naona ka vile baada ya kukimbiwa na SL kachanganyikiwa,hahahahahaaaaa!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…