MMU thread ya kufungia mwaka

Khaaaaa!!! Kumbe unaenda huko nione leo jioni kwa maombezi yatayodumu wiki nzima...itabidi nikutoe pepo za akina Kimbweka na ChatuDume....lol

Am telling you Kimbweka hua ananichanganya mpaka basi! ilibidi nimuulize maana Khaaa! (umewahi waona binti zake? lol)
 
Nimejikuta naamka mlangoni sijui nini kilitokea jamani
Ha ha ha...yale mapemo yalivyotoka kwa Bishanga itakuwa yalihamia kwako...

Jiandae takupitia sa 8 mchana twende kwenye maombi ila sio kwa TF..
 
Kwa mujibu wa TF ni kwamba wewe na The Boss mliombewa! Heheh.......kwa hiyo hata nyie mlivulishwa nguo! Dah........patamu hapo!!!

Mh!Kisweet umejuaje yote haya?Au ulishavuliwa nguo?
 
Am telling you Kimbweka hua ananichanganya mpaka basi! ilibidi nimuulize maana Khaaa! (umewahi waona binti zake? lol)
Yule anahitaji maombezi kwa kweli mimi niliisha mnyooshea mikono dah..waweza siku kukuta unafungua thread yake mara mtu unamuona binti yako kapigwa picha na Kimbweka..lol
 
Khaaa! Siamini macho yangu!!! Hivi ni wewe kweli au naota??? Una kesi nzito ya kujibu.

mimi tena?
mahakama zipo likizo hadi kwaresma!!! ndo maana kesi yako nimeamua iwe tu hivi...
 
Bora umwambie wifi manake anataka nmrudishie dera lake wakati hajanirudishia skin jeans yangu....haiwezekani

heheeeeee tena, basi yaishe....lol!!! mi lidhani ulinipea tu cha bure
nilipanga nikununie hadi 'krimasi kiishe' mwenzio
 
Ha ha ha...yale mapemo yalivyotoka kwa Bishanga itakuwa yalihamia kwako...

Jiandae takupitia sa 8 mchana twende kwenye maombi ila sio kwa TF..

Ngoja nijiandae kabisa yaani haya mapepo i see yashindwe na kulegea nasubiri tu unifunulie upako
 
mimi tena?
mahakama zipo likizo hadi kwaresma!!! ndo maana kesi yako nimeamua iwe tu hivi...
Nijulishe za utokako.... Mie bukheri kabisa khofu kwako tu...

Vile viatu vyako vya x'mass tavituma kesho hivyo usicheze mbali na maeneo ya stand.
 
Hata mie baba nanii
anarudi leo
Alikuwa kwenye kikao cha posho za wawakilishi
poa,nitapitia shopaz,lakini ujue leo usilale kwangu maana mama Kayai anarudi leo toka Guanzhou.
 
heheeeeee tena, basi yaishe....lol!!! mi lidhani ulinipea tu cha bure
nilipanga nikununie hadi 'krimasi kiishe' mwenzio
Mpendwa katika bwana nakukaribisha katika maombezi leo jioni pale TF & HUSNINYO FULL GOSPEL FELLOWSHIP CHURCH uje tukuombee..ibada ya maombezi itatanguliwa na ugawaji wa simu za Blacberry zilizounganishwa na huduma ya internet miezi sita na BBM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…