The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Khaaaaa!!! Kumbe unaenda huko nione leo jioni kwa maombezi yatayodumu wiki nzima...itabidi nikutoe pepo za akina Kimbweka na ChatuDume....lolB' usibiaambie kua hujui mambo ya wakubwa.... Dah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaa!!! Kumbe unaenda huko nione leo jioni kwa maombezi yatayodumu wiki nzima...itabidi nikutoe pepo za akina Kimbweka na ChatuDume....lolB' usibiaambie kua hujui mambo ya wakubwa.... Dah!
we hulijui kanisa la TF? Shurti kujifungia chumbani na kuvua blaus!
Khaaaaa!!! Kumbe unaenda huko nione leo jioni kwa maombezi yatayodumu wiki nzima...itabidi nikutoe pepo za akina Kimbweka na ChatuDume....lol
switiledi...rudisha dera langu...
Ha ha ha...yale mapemo yalivyotoka kwa Bishanga itakuwa yalihamia kwako...Nimejikuta naamka mlangoni sijui nini kilitokea jamani
Kwa mujibu wa TF ni kwamba wewe na The Boss mliombewa! Heheh.......kwa hiyo hata nyie mlivulishwa nguo! Dah........patamu hapo!!!
Khaaa! Siamini macho yangu!!! Hivi ni wewe kweli au naota??? Una kesi nzito ya kujibu.switiledi...rudisha dera langu...
Bora umwambie wifi manake anataka nmrudishie dera lake wakati hajanirudishia skin jeans yangu....haiwezekaniNimefurahi kukuona.... habari ya siku? (kwa swt lady hapo ulie tu!)
Habari ya siku si mbaya Asha, niiajlie afya yako bibie?Nimefurahi kukuona.... habari ya siku? (kwa swt lady hapo ulie tu!)
Yule anahitaji maombezi kwa kweli mimi niliisha mnyooshea mikono dah..waweza siku kukuta unafungua thread yake mara mtu unamuona binti yako kapigwa picha na Kimbweka..lolAm telling you Kimbweka hua ananichanganya mpaka basi! ilibidi nimuulize maana Khaaa! (umewahi waona binti zake? lol)
Khaaa! Siamini macho yangu!!! Hivi ni wewe kweli au naota??? Una kesi nzito ya kujibu.
Bora umwambie wifi manake anataka nmrudishie dera lake wakati hajanirudishia skin jeans yangu....haiwezekani
mkonga wa tembo? Mmmmhhhh sitii neno hapo.
Ha ha ha...yale mapemo yalivyotoka kwa Bishanga itakuwa yalihamia kwako...
Jiandae takupitia sa 8 mchana twende kwenye maombi ila sio kwa TF..
Kwa mujibu wa TF ni kwamba wewe na The Boss mliombewa! Heheh.......kwa hiyo hata nyie mlivulishwa nguo! Dah........patamu hapo!!!
😛ound:😛ound:😛ound:Mh!Kisweet umejuaje yote haya?Au ulishavuliwa nguo?
nilitaka kumwambia hivo hivo!
Nijulishe za utokako.... Mie bukheri kabisa khofu kwako tu...mimi tena?
mahakama zipo likizo hadi kwaresma!!! ndo maana kesi yako nimeamua iwe tu hivi...
poa,nitapitia shopaz,lakini ujue leo usilale kwangu maana mama Kayai anarudi leo toka Guanzhou.
Mpendwa katika bwana nakukaribisha katika maombezi leo jioni pale TF & HUSNINYO FULL GOSPEL FELLOWSHIP CHURCH uje tukuombee..ibada ya maombezi itatanguliwa na ugawaji wa simu za Blacberry zilizounganishwa na huduma ya internet miezi sita na BBMheheeeeee tena, basi yaishe....lol!!! mi lidhani ulinipea tu cha bure
nilipanga nikununie hadi 'krimasi kiishe' mwenzio