Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Afu mi huwa nashangaa sana
Ukishaniombea tu
Inakuwa nzito kama nanga
nashindwa kabisa kuibeba
Kaitupe baharini au kawape MV magogoni wawe na spea nanga
Ukishaniombea tu
Inakuwa nzito kama nanga
nashindwa kabisa kuibeba
Kaitupe baharini au kawape MV magogoni wawe na spea nanga
Ulisahau nanii yako wakati nakuombea jana usiku, jioni usisahau kupita uichukue...sio vizuri kondoo wengine wakija wakaiona