Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Nenda Forum ya "Tech and Gadgets" kaeleze tatizo lako.... Jamaa wapo so reliable, utajua tatizo lako in no time at all.....
Muda wa Masjid huu dada,au umesahau leo ni Ijumaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Forum ya "Tech and Gadgets" kaeleze tatizo lako.... Jamaa wapo so reliable, utajua tatizo lako in no time at all.....
Asante kwa ushauri..ngoja niwahi cuz nakosa sana uhondo! Hata LIKE nashindwa kugonga!!Nenda Forum ya "Tech and Gadgets" kaeleze tatizo lako.... Jamaa wapo so reliable, utajua tatizo lako in no time at all.....
Leo unakuta mizigo ya mlangoni...ahaaa samahani sio mizigo yako ni ya Lizzyngoja na mii nikuombee " shindwaaaaaaa" katiiiikaaa jina la JF"
lolz :crutch:
Leo unakuta mizigo ya mlangoni...ahaaa samahani sio mizigo yako ni ya Lizzy
aah huyu fundi Ali chirimeni yangu kaiharibu bana nanunua kitenge cha zaire kesho...lol
Kwa hili najua utanitamani haswa kama sio kunila kabisa...sikutamani tena.... :A S-coffee:
msiniache plizz maana nahisi kichwa kuzunguka,sijui kwa vile nam miss eliza wa tegeta a.k.a kiboko ya wamama wa mmu?Ha ha ha...yale mapemo yalivyotoka kwa Bishanga itakuwa yalihamia kwako...
Jiandae takupitia sa 8 mchana twende kwenye maombi ila sio kwa TF..
kumbe na wewe unamjua eh?
@ The Finest naomba sababu ya kunikataza kutokuwasiliana na Bishanga
Pokea baraka za bwana, neno la bwana liendelee kukuongoza vivyo hivyoBishanga ni kondoo aliyeamua kuishi na simba
sasa wewe TF hataki upotee kabisa
You are too sweet for him kupotea na bishanga
Hivi hapa mnazungumzia nini vile??