MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Mchungaji msimuweke kwenye majaribu

Shauri zako hautaki kufuata njia za bwana usiseme kwamba sikukwambia kuhusu neno la bwana

Ubarikiwe na bwana akutie nguvu

Karibu kwenye ibada leo jioni usisahau kuja na ile Range Rover yako kama sadaka na ile hati ya kiwanja kama fungu la kumi..bwana azidi kukubariki

Kondoo wangu wote sio watukutu sana wanafuata nyendo zitakazowapeleka mbinguni

:shock::shock:

Ni marufuku kufanya mawasiliano na Bishanga hivi wewe kwanini hautaki kuelewa lakini

acha fitna bana!
 
Modem ipo ok..but kila saa nikilog in JF inaniambia server is taking too long to respond. Site nyingine nazipata bila matatizo

dalili za kupigwa ban hizo!
 
ukitanga cha uvunguni sharti uiname, toa vitu upate vitu nataka niuanzishe huu uzi sijui niupeleke moja kwa moja kule bondeni au niulete hapa then nisubirie moderator waumuvuzishe
nitakuwa wa kwanza kuchangia,ukipenda kula uwe tayari kuliwa,hahahaa
 
Bishanga ni kondoo aliyeamua kuishi na simba
sasa wewe TF hataki upotee kabisa
You are too sweet for him kupotea na bishanga

kwa taarifa yako nimefahamiana na AD wakati TF hajajua ku boot in,uongo AD?
 
Ngoja niende Jackies kabla foleni haijawa kubwa
Ugali nyama choma

Kama unapiga chamoto tuanze kuwa tunaenda DIDIZ basi
didiz si pale opposite na jackies? Nitakuja jioni,ukiona mtu analamba henken kwa fujo basi jua ni mie kibosile wa kihaya.
 
Back
Top Bottom