MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Aaah,ODM yuko na Rocky wanakunywa maji ya mende,temana nae huyo!Nimeshabip hebu toka nje uone!!
Babu kashalewa hapa
Halafu hataki kwenda nyumbani anadai anamtaka SL aje hapa amnunulie bia
 
Dini yangu inankataza kununulia watu bia, kama anakunywa fanta sawa.

Afu na wewe ndio nini kupotea hivi? Nimekununia.
 
ndo natoka kwa ofisi, niko mataa ya st peter.

Naanzia didiz nakula afu napita Q-bar kuna cocktail moja huwa naipenda hapo afu kuanzia saa tatu nikute George & Dragon

mbona sikuoni jackies? au uko upande wa pili didi's?
 
ndo natoka kwa ofisi, niko mataa ya st peter.

Naanzia didiz nakula afu napita Q-bar kuna cocktail moja huwa naipenda hapo afu kuanzia saa tatu nikute George & Dragon
Kongosho nani atapikia watoto?
 
Mwanamme hununiwa kuanzia mgotini kwenda chini
huku kwingine hanuniwi asilani
hukupitia unyago weye?

Dini yangu inankataza kununulia watu bia, kama anakunywa fanta sawa.

Afu na wewe ndio nini kupotea hivi? Nimekununia.
 
Duh, babu gani huyo
hakika atakuwa anataka kung'olewa mvi na prize
Babu Asprin hapa
Anakunywa heinken halafu mara hakumbuki kuwa anakunywa nini kaanza kufakamia konyagi
Akilewa namleta kwa SL mlangoni hapo namwacha
 
Dini yangu inankataza kununulia watu bia, kama anakunywa fanta sawa.

Afu na wewe ndio nini kupotea hivi? Nimekununia.

Babu anakunywa heinken hapa na sijui yuko chupa ya kumi na tano

Aise si TF alifungia kisimu changu cha mchina halafu kaenda kwao kimanzichana
Wacha nihangaike mawasiliano sina na yeye huko kwao hakuna network ndo maana nilipotea
Hujambo sweet
 
Babu Asprin hapa
Anakunywa heinken halafu mara hakumbuki kuwa anakunywa nini kaanza kufakamia konyagi
Akilewa namleta kwa SL mlangoni hapo namwacha
Wewe! Mpeleke mlangoni kwa Eliza wa Tegeta...mie na walevi mbali mbali..
 
Back
Top Bottom