nakumbuka mpaka alinifungulia na RB,aspirin bana!
Ule uzi unapaswa urudiwe mwakani kwa namna nyingine maana yaliyosemwa yapo kweli hakuna ubishi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakumbuka mpaka alinifungulia na RB,aspirin bana!
Q bar angalia wasikuibe wakware(assuming we ni she) au usiopoe ka we ni He,G n dragon bomba sana hapo.ndo natoka kwa ofisi, niko mataa ya st peter.
Naanzia didiz nakula afu napita Q-bar kuna cocktail moja huwa naipenda hapo afu kuanzia saa tatu nikute George & Dragon
Mie sijambo... Maelezo hayajanirizisha kabisaaa. Jipange sawa sawa uje tena.Babu anakunywa heinken hapa na sijui yuko chupa ya kumi na tano
Aise si TF alifungia kisimu changu cha mchina halafu kaenda kwao kimanzichana
Wacha nihangaike mawasiliano sina na yeye huko kwao hakuna network ndo maana nilipotea
Hujambo sweet
Nimejaribu akakataa anataja tuu jina lako hapa na analazimisha nimlete kwakoWewe! Mpeleke mlangoni kwa Eliza wa Tegeta...mie na walevi mbali mbali..
Q bar angalia wasikuibe wakware(assuming we ni she) au usiopoe ka we ni He,G n dragon bomba sana hapo.
Unavoringa na Eliza wewe???mbona unamtakia balaa mwana wa mwenzio,we unamjua E wa tegeta au unamsikia?
mabusu tu we yanakuangusha chini!
ngoja nifanye homuweki.
Mfanyie maombi kwa niaba yangu..Nimejaribu akakataa anataja tuu jina lako hapa na analazimisha nimlete kwako
Amesema kwenye gari hatashuka kama sio kwako
Mshauri basi anyoe jamani, mie nimemshauri mpaka nimejichokea hanyoi... Zinanipa shida kwenye yale mambo yetu bana.Nakupigia picha na hizo ndevu zako unampa mabusu SL
inachekesha
Maombi yatapanda kweli hapa maana anachotaja ni jina lako tuuMfanyie maombi kwa niaba yangu..
Mshauri basi anyoe jamani, mie nimemshauri mpaka nimejichokea hanyoi... Zinanipa shida kwenye yale mambo yetu bana.
Ha ha ha. Yasipopanda mchape makofi bana.Maombi yatapanda kweli hapa maana anachotaja ni jina lako tuu
Haelewi neno jingine zaidi ya hayo
Maombi yatapanda kweli hapa maana anachotaja ni jina lako tuuMfanyie maombi kwa niaba yangu..
Babu namuheshimu banaHa ha ha. Yasipopanda mchape makofi bana.
Khaaa!...kongosho!! Hazitaniletea TB jamani?ha ha ha, ukitaka zisikusumbue
zibugie na zenyewe, usizikwepe