Ulisahau nanii yako wakati nakuombea jana usiku, jioni usisahau kupita uichukue...sio vizuri kondoo wengine wakija wakaiona
Khaah!
Na wewe kakuombea?
Makubwa! Umebaki salama kweli au minyororo yako yooote legelege kwa sasa?
Nijulishe za utokako.... Mie bukheri kabisa khofu kwako tu...
Vile viatu vyako vya x'mass tavituma kesho hivyo usicheze mbali na maeneo ya stand.
Ile tabia yako ya uongo umeiacha?Yasije kukutokea ya ajabu,maana we kijana kwa fiksi ni noma!
Hapa sasa tunaenda sawa! Kwa kuanzia andaa bibilia, afu tafuta suruali ya kitambaa, vaa chomekea, nikifika hapo tunaanza safari... Mapepo lazima yashindwe ati..Ngoja nijiandae kabisa yaani haya mapepo i see yashindwe na kulegea nasubiri tu unifunulie upako
Nawafuatilia kwa karibu sana hawa watoto wawili nataka mmoja wao awe anapika na kupakua kwangu.
Mh!Kisweet umejuaje yote haya?Au ulishavuliwa nguo?
Mpendwa katika bwana nakukaribisha katika maombezi leo jioni pale TF & HUSNINYO FULL GOSPEL FELLOWSHIP CHURCH uje tukuombee..ibada ya maombezi itatanguliwa na ugawaji wa simu za Blacberry zilizounganishwa na huduma ya internet miezi sita na BBM
Kwa mujibu wa TF ni kwamba wewe na The Boss mliombewa! Heheh.......kwa hiyo hata nyie mlivulishwa nguo! Dah........patamu hapo!!!
Mh!Kisweet umejuaje yote haya?Au ulishavuliwa nguo?
Weeee!!! Nilikumiss mpaka kidogo nikuanzishie uzi...urafiki wa mashaka?? Hapana... Wewe mwenyewe wajua fika kuwa hakunaga zaidi yangu mimi na wewe!...lol na ole wake mwenye mpango wa kutugombanisha... Tutamchangiaje!!!kwema kabisaa, yaani nashangaa hujanimisi, urafiki wa mashaka huu!!
utume na ngorika ndo najua inasimamaga wapi, sawa eeh?? na kama ni vibaya sitaenda kusali siku yenyewe
Bora umwambie wifi manake anataka nmrudishie dera lake wakati hajanirudishia skin jeans yangu....haiwezekani
πound:πound:πound:
TF mwenyewe ndo kasema jamani.........LOL!!!
Yule anahitaji maombezi kwa kweli mimi niliisha mnyooshea mikono dah..waweza siku kukuta unafungua thread yake mara mtu unamuona binti yako kapigwa picha na Kimbweka..lol
Lol...bora umeona bht... Mpaka x'mass ipite tutashuhudia matapeli wengi sana.,.utapeli mchana...mmh!!
sina hati mwenzio jaribu kwengine....lol!!!
nimezoea nokia ya kitochi blakiberi hainifai. (itakua ovasaizi yangu)
Anaomba hao wawili
Wamchangie kumchojoa
Lugha za kisasa hivi utaziweza
Mie nimemwambia TF anamtosha kabisa
Habari ya siku si mbaya Asha, niiajlie afya yako bibie?
Huyo wa pili hakika aliombewa
Tena na mie
Unataka kujua kama nlimvua???
To be continued.........
Weeee!!! Nilikumiss mpaka kidogo nikuanzishie uzi...urafiki wa mashaka?? Hapana... Wewe mwenyewe wajua fika kuwa hakunaga zaidi yangu mimi na wewe!...lol na ole wake mwenye mpango wa kutugombanisha... Tutamchangiaje!!!
Ok ngorika ya kwanza kesho inakuja na viatu, gauni fundi si keshamaliza kushona?