MMU thread ya kufungia mwaka

Wenzio tukitaka cha uvunguni tunabinua vitanda
ukitanga cha uvunguni sharti uiname, toa vitu upate vitu nataka niuanzishe huu uzi sijui niupeleke moja kwa moja kule bondeni au niulete hapa then nisubirie moderator waumuvuzishe
 
Mpendwa katika bwana nakukaribisha katika maombezi leo jioni pale TF & HUSNINYO FULL GOSPEL FELLOWSHIP CHURCH uje tukuombee..ibada ya maombezi itatanguliwa na ugawaji wa simu za Blacberry zilizounganishwa na huduma ya internet miezi sita na BBM
kwa mtindo huu na makanisa ya hivi na makuhani wa kiTF ,hakika jahanam tutakosa pa kukaa.
 
hahahaha.... Rejao my brother.... Huishi nisifia.... THANK YOU. But ipo educative na Kimbweka alifunguka... Umeisoma yooote? Kama hujasoma narecommend usome
mimi sijaisoma,iko jukwaa gani vile?
 
Hahaha! Afu upeleke kwa yule fundi mwingine pale maeneo ya soko kuu....jina limentoka bana. Mwambie hilo gauni la kitenge aweke mikanda, afu ashone sio refu wala sio fupi yaani lipo kati kati ya miguu... Huku tunaita heshima debe...lol.
bht,SL na huyo Asha wenu ntawachapa,you are chakachuaring mai sred!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…