mi na dena amsi tuna chupa za maji bana.
Wapi wakati mmeweka konyagi zinazofanana na maji
Na niliwaona wakati mnakata chupa ya konyagi mkagawana wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi na dena amsi tuna chupa za maji bana.
ushakaa na NN,wapi,sa ngapi? Au mlikutana central NN akiwa na tuhuma za kumtia za uso Lizzy?
Tulikaa wapi Mama Tuli?
ushakaa na NN,wapi,sa ngapi? Au mlikutana central NN akiwa na tuhuma za kumtia za uso Lizzy?
Usiogopeee......hukuharibu yani tena ulipotambulishwa hukuvutiwa kbsa na mm ukaendelea na shughuli zako lol
Makubwa haya! Wapi,sangapi itakua ngumu maana hata masaa yanatofautiana.....bora ungeniuliza mwaka gani? Ila ilikua nyumbani kwa mshkaji
Kuna lawyer wa kujitolea JF naye ni Klorokwini..so jiachie utakavyo!Hahahaaaa sitakii mie nisije pelekwa mahakamani wakati sina hela ya kumlipa lawyer! Nishawahi kukaa nae mara 2 ila yy hawezi kunijua hata akatambike!
kumparura Lizzy
Hujalala tu na wewe! Ebu njoo upesi kitandani.Nimeondoka kidogo yu mkaanza na kuparurana?
Haya umemparura sehemu zipi?
Hujalala tu na wewe! Ebu njoo upesi kitandani.
Rocky,na wewe umejoin utapeli wa TF na Husninyo wa kukusanya sadaka kwa dola?
Mama Tuli habari za masiku bana. Nilisafiri kidogo na TF kwenda kuhubiri injili ila nimerudi salama
Habari ya mtoto wetu Tuli
Kuna lawyer wa kujitolea JF naye ni Klorokwini..so jiachie utakavyo!
wewe ni He au She?