MMU thread ya kufungia mwaka

ushakaa na NN,wapi,sa ngapi? Au mlikutana central NN akiwa na tuhuma za kumtia za uso Lizzy?

Makubwa haya! Wapi,sangapi itakua ngumu maana hata masaa yanatofautiana.....bora ungeniuliza mwaka gani? Ila ilikua nyumbani kwa mshkaji
 
Hahahaaaa sitakii mie nisije pelekwa mahakamani wakati sina hela ya kumlipa lawyer! Nishawahi kukaa nae mara 2 ila yy hawezi kunijua hata akatambike!
Kuna lawyer wa kujitolea JF naye ni Klorokwini..so jiachie utakavyo!
 
Mama Tuli habari za masiku bana. Nilisafiri kidogo na TF kwenda kuhubiri injili ila nimerudi salama
Habari ya mtoto wetu Tuli
 
Mama Tuli habari za masiku bana. Nilisafiri kidogo na TF kwenda kuhubiri injili ila nimerudi salama
Habari ya mtoto wetu Tuli

Rocky,na wewe umejoin utapeli wa TF na Husninyo wa kukusanya sadaka kwa dola?
 
Nimeondoka kidogo yu mkaanza na kuparurana?

Haya umemparura sehemu zipi?

jana mbona nimekuja Geoorge n Dragon sijakuona? Au wewe ndo kale kachangu niliona kamebana na kibabu kizungu hakina hata meno?
 
Rocky,na wewe umejoin utapeli wa TF na Husninyo wa kukusanya sadaka kwa dola?

Hujagundua kuwa tumeoteshwa lile vogue lako unapaswa kulileta kama sadaka
Na pia ile account yako ya dola tunaiomba iwe ya kanisa
 
Mama Tuli habari za masiku bana. Nilisafiri kidogo na TF kwenda kuhubiri injili ila nimerudi salama
Habari ya mtoto wetu Tuli

Mahabubaaa,mswaki wa moyo wangu!karibu sana. Mmefanikiwa kurudisha c***za watu wote mlio watoa mapepo??Bishanga naona utakua umeshapata jibu la swali lako.
 
wewe ni He au She?

Kwanini tuandikie mate bandugu,we ukiniona ndo utakapojua she or he. Tatizo lako liko wapi kwani,mm najiandaa kukutana na ma she tuuu!kazi kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…