tupe title kabisa ili tuanze kujiandaa kuchangia.Duu bishanga umenivucha mbavu zangu...hivi umeweaza nini kuleta hii threads yako hapa..kweli hebu tuarrange jinsi ya kupata bia + konyagi baridi pale samaki samaki kwenye viti virefu bana...by the way ya kwangu naiandaaaaaaaaaaa...
she wants to know if i am good in the sack.
Aaah,ODM yuko na Rocky wanakunya maji ya mende,temana nae huyo!Nimeshabip hebu toka nje uone!
unasemaje? unajua Aspirin kwao ni Tanga makorora?wakujua weye? na mambo zake wazijua? ka vipi muulize Kongosho alivyowakosea watu wa huko mpaka wakambadili jinsia halafu kila alfajiri sharti awike kokorikoooooooo!Aaah,ODM yuko na Rocky wanakunya maji ya mende,temana nae huyo!Nimeshabip hebu toka nje uone!
sawa Mkuu,basi ngoja tutafunetafune twa mwisho kabla ya dec,31st ili mwaka mpya ukianza tuwe clean kabisa.We TF na genge lako umesikia azimio hili,2012 no infiiiiiiiiii, okei??????
Amina,usisahu kunitanguliza kwenye sala,nshamuahidi mzee DC come jan,1st mambo ya infidelity naacha kabisa,itakuwa ni mimi na Lizzy tu (assuming atapokea pete yangu ya uchumba).
Ngoja The Boss akipita pande hizi atatusaidia kutegua kitendawili..
ushakuwa MAMA mara hii? asubuhi tu leo kuna mdada ulikuwa unamsarandia,we Kongosho wewe,haya......
Of course Lizzy ana sifa zote and i will never cheat on her,naahidi mbele ya mashahidi wafuatao:Hivi wewe Bishanga, siku hizi pete ya uchumba ni ufunguoa wa kufungulia kabati la watu na kutafuna tundi bila huruma wala haya???
Haki ya nani sie tumezeek....Sie enzi zetu lazima uwekewe shuka jeupe siku hiyo anapokuwa amekabidhiwa kwako rasmi!!
Of course Lizzy ana sifa zote and i will never cheat on her,naahidi mbele ya mashahidi wafuatao:
Ashadii
Sweetlady
Smile
no nimegairi Smile futa jina yake mbeya sana
Rejao
na
Fidel
o yeh na Bujibuji
btw sitaki kuwaona Husninyo na TF kwenye shughuli yangu!
you are the most mtata member wa mmu if not jf!
tupe title kabisa ili tuanze kujiandaa kuchangia.
Fidel yeye kanitonya kuwa ya kwake title ni:
'UKIFUMANIWA NA MKE WA KAKA YAKO FANYA YAFUATAYO':
nani? Eliza wa Tegeta?maana i just dumped her.
Mungu baba mwenye enzi aliyeketi juu ya uso wa dunia hii awabariki awaongoze, nakemea mapepo yote tokaaaaaaaaa, naomba uniongoze napoenda kuwaombea ndugu jamaa na marafiki zangu wa hapa MMU watie nguvu waongoze wakarudi kwenye nyumba zao salama damu yako ikawaongoze, waonyeshe njia wasije wakaenda kutenda tofauti na kinyume...
Of course Lizzy ana sifa zote and i will never cheat on her,naahidi mbele ya mashahidi wafuatao:
Ashadii
Sweetlady
Smile
no nimegairi Smile futa jina yake mbeya sana
Rejao
na
Fidel
o yeh na Bujibuji
btw sitaki kuwaona Husninyo na TF kwenye shughuli yangu!