MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Duu bishanga umenivucha mbavu zangu...hivi umeweaza nini kuleta hii threads yako hapa..kweli hebu tuarrange jinsi ya kupata bia + konyagi baridi pale samaki samaki kwenye viti virefu bana...by the way ya kwangu naiandaaaaaaaaaaa...
tupe title kabisa ili tuanze kujiandaa kuchangia.
Fidel yeye kanitonya kuwa ya kwake title ni:
'UKIFUMANIWA NA MKE WA KAKA YAKO FANYA YAFUATAYO':
 
Aaah,ODM yuko na Rocky wanakunya maji ya mende,temana nae huyo!Nimeshabip hebu toka nje uone!

ODM na R' wapi na wapi' kwamba both of them wapo counter or kanisani? lol (maji vs petrol hapo):eyebrows:
 
Aaah,ODM yuko na Rocky wanakunya maji ya mende,temana nae huyo!Nimeshabip hebu toka nje uone!
unasemaje? unajua Aspirin kwao ni Tanga makorora?wakujua weye? na mambo zake wazijua? ka vipi muulize Kongosho alivyowakosea watu wa huko mpaka wakambadili jinsia halafu kila alfajiri sharti awike kokorikoooooooo!
 
sawa Mkuu,basi ngoja tutafunetafune twa mwisho kabla ya dec,31st ili mwaka mpya ukianza tuwe clean kabisa.We TF na genge lako umesikia azimio hili,2012 no infiiiiiiiiii, okei??????

Mhhh...hilo timbwili la wadau...ngoja nikae pembeni!
 
Amina,usisahu kunitanguliza kwenye sala,nshamuahidi mzee DC come jan,1st mambo ya infidelity naacha kabisa,itakuwa ni mimi na Lizzy tu (assuming atapokea pete yangu ya uchumba).

Hivi wewe Bishanga, siku hizi pete ya uchumba ni ufunguoa wa kufungulia kabati la watu na kutafuna tundi bila huruma wala haya???

Haki ya nani sie tumezeek....Sie enzi zetu lazima uwekewe shuka jeupe siku hiyo anapokuwa amekabidhiwa kwako rasmi!!
 
Of course Lizzy ana sifa zote and i will never cheat on her,naahidi mbele ya mashahidi wafuatao:
Ashadii
Sweetlady
Smile
no nimegairi Smile futa jina yake mbeya sana
Rejao
na
Fidel
o yeh na Bujibuji
btw sitaki kuwaona Husninyo na TF kwenye shughuli yangu!
 
Te te teh teh, asubuhi nilikuwa nimenyanyua kidole
sasa hivi nimenyanyua mguu, nizoee tu
you are the most mtata member wa mmu if not jf!
na logoff (source:washawasha)
 
Of course Lizzy ana sifa zote and i will never cheat on her,naahidi mbele ya mashahidi wafuatao:
Ashadii
Sweetlady
Smile
no nimegairi Smile futa jina yake mbeya sana
Rejao
na
Fidel
o yeh na Bujibuji
btw sitaki kuwaona Husninyo na TF kwenye shughuli yangu!

Ok, ok......!!!

Msisahau kumwita babu yenu aje kuwawekea mikono!!
 
Mungu baba mwenye enzi aliyeketi juu ya uso wa dunia hii awabariki awaongoze, nakemea mapepo yote tokaaaaaaaaa, naomba uniongoze napoenda kuwaombea ndugu jamaa na marafiki zangu wa hapa MMU watie nguvu waongoze wakarudi kwenye nyumba zao salama damu yako ikawaongoze, waonyeshe njia wasije wakaenda kutenda tofauti na kinyume...
 
tupe title kabisa ili tuanze kujiandaa kuchangia.
Fidel yeye kanitonya kuwa ya kwake title ni:
'UKIFUMANIWA NA MKE WA KAKA YAKO FANYA YAFUATAYO':

Hahaha hii kali mzazi alafu nimegundua bro.anamega mke wa dogo.
 
Lizzy.password ya jirani yako imeibiwa
Wanamjibia mmu
Mungu baba mwenye enzi aliyeketi juu ya uso wa dunia hii awabariki awaongoze, nakemea mapepo yote tokaaaaaaaaa, naomba uniongoze napoenda kuwaombea ndugu jamaa na marafiki zangu wa hapa MMU watie nguvu waongoze wakarudi kwenye nyumba zao salama damu yako ikawaongoze, waonyeshe njia wasije wakaenda kutenda tofauti na kinyume...
 
Of course Lizzy ana sifa zote and i will never cheat on her,naahidi mbele ya mashahidi wafuatao:
Ashadii
Sweetlady
Smile
no nimegairi Smile futa jina yake mbeya sana
Rejao
na
Fidel
o yeh na Bujibuji
btw sitaki kuwaona Husninyo na TF kwenye shughuli yangu!

Hio list haijakamilika.... Nani anatoa copy writes ya hio doc kama sio Klorokwini the JF lawayer? lol
 
Back
Top Bottom