MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

yupi sasa mmeo katika hawa wawili,Rocky au Aspirin? kama ni Aspirin du itakuwa imekula kwako maana sio mhongaji.

We uko wapi usimjue hubby wangu??subiri atakujibu mwenyewe kati ya hao utamjua.
 
My sweet Wii nini wataka kujua? nipo kwa ajili yako.....
Wifi unajua leo Bishanga kaamkia bar yenye g'house humo humo, eti anasema nkuulize wewe kama Eliza wa Tegeta atanipiga akinikuta nae, eti wewe na Eliza mnaishi jirani, ya kweli hayo wifi?
 
Awali ya yote niwashukuru kwa michango yenu na kuwatakia kipindi chema cha kumalizia mwaka.
Ombi kwa wadau wa mmu:
Hebu jikunjeni hapa mmwage uzi mzito wa kufungia mwaka yaani uwe pasua kichwa mpaka wachangiaji vichwa vichemke.
Mimi naandaa wa kwangu,title:
'Ukitaka kutongoza mke wa mtu tumia mbinu hizi'.


Ukitongoza mke wa mtu, basi wewe jua tayari uko kwenye jeneza, watu wanatoa heshima za mwisho, tayari kwa mazishi!
 
u
uuuuuuuuuwi mbavu sina,naimagine ulivyotoa mimacho,mikono umenyoosha mbele,mwili unatetemeka,kasuti kako kamtumba kalivyokubana tumbo,tuviatu twako tumetoboka kidole gumba kiko nje,tumiguu twako twembamba tulivyopinda kama masanja mwanawane....na kushoto kwako Husninyo anazunguka kwa waumini na kibaba cha sadaka(mnakusanya wenyewe asiibiwe mtu),du what a scene,right from hollywood!
B' umesahau, atakuwa pia kavaa koti la suti matirio kama gunia la kuhifadhia mahindi, suruali ya kitambaa green light ambayo haijanyoshwa toka inunuliwe, shati la bluu iliyokolea matirio kama mwamvuli afu ova saizi, tai nyekundu, nywele ndefu afu sio nyeusi, ziko kama zinataka kuwa za brown, mwisho kabisa hajanyoa ndevu... Lol.
 
Mungu baba mwenye enzi aliyeketi juu ya uso wa dunia hii awabariki awaongoze, nakemea mapepo yote tokaaaaaaaaa, naomba uniongoze napoenda kuwaombea ndugu jamaa na marafiki zangu wa hapa MMU watie nguvu waongoze wakarudi kwenye nyumba zao salama damu yako ikawaongoze, waonyeshe njia wasije wakaenda kutenda tofauti na kinyume...
Khaaa! Siamini macho yangu...



Kweli nimeamini shetani akizeeka anageuka kuwa malaika...
 
Hivi umaarufu ni hoja?
Au hoja ni umaarufu wa kitu gani?
Hata Matonya ni maarufu
dont shoot, nina evening insanity syndrome

Olalalaaaa mzee mzima unanchora sasa,unataka kuniambia mama mwenye nyumba hii tukufu ya jf the right honorable Faizafoxy hujawahi kutambua uwepo wake jf? no way Mkuu!
ps: katika hili nahisi kamoshi keusi maana FF kwa umaarufu alionao jf mmmmhhhh!!!!
 
Hahahahahaaaaaa nakufaaaaaa mbavu zangu mieeeeee hahahahaaaa Bishanga naomba kwangu nikufanyie maombi!! Bado kidogo ni dondoke kwa kucheka daaaah
usicheke bana,ngoja nikuletee picha halisi ya TF kwa multimedia,si unajua blackberry langu ni la ukweli(limeandikwa 'torch').
 
Khaaa Bishanga!!! Mswalie mtume jamani lolz...unanichonganisha na wifi angu au unahamu ya kudundwa mangumi na Kaizer???

Kaizer,Kaizer,Kaizer,Kaizer,embu nimchore kichwani,60kg,one metre fifty,flaby,squinty eyes,afraid of dogs,chickens and rabbits,had a woman for the first time at 25,terrified of his wife,mmmmmmhhhhhh hawezi ku cheat na wewe huyo,nimem rule out,sema mwingine!
 
Ukitongoza mke wa mtu, basi wewe jua tayari uko kwenye jeneza, watu wanatoa heshima za mwisho, tayari kwa mazishi!
Okada,umewahi kusikia kitu kinaitwa 'to drive on a fast lane'?
 
B' umesahau, atakuwa pia kavaa koti la suti matirio kama gunia la kuhifadhia mahindi, suruali ya kitambaa green light ambayo haijanyoshwa toka inunuliwe, shati la bluu iliyokolea matirio kama mwamvuli afu ova saizi, tai nyekundu, nywele ndefu afu sio nyeusi, ziko kama zinataka kuwa za brown, mwisho kabisa hajanyoa ndevu... Lol.
mlivyotoka naye outing last time ndivyo alivyovaa?
 
acha uoga
wewe utakuwa nyoka wa maonesho
ni ushujaa mwanajeshi kufia vitani
hivi unadhani utaishi miaka hata 120?

Ukitongoza mke wa mtu, basi wewe jua tayari uko kwenye jeneza, watu wanatoa heshima za mwisho, tayari kwa mazishi!
 
Huyu Bishanga bana,sasa kile kibabu ODM nguvu ya kupiga msumari kitaitoa wapi?

du! kongosho naomba namba ya simu Aspirin,nipe fasta kabla Eiyer hajanchoropoka,ndo nimemshikilia kooni hivo through PM.
 
Back
Top Bottom