Mna deal vipi na mtu unae mtumia hela afu asemi Asante au kama kaipata

Mna deal vipi na mtu unae mtumia hela afu asemi Asante au kama kaipata

Mayor of kingstown

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,898
Reaction score
4,156
Kuna hii tabia mtu ana omba pesa .una mtumia kupitia kwa wakala afu hasemi kama kaipata wala hasemi Asante.
Yani ana kaa kimya kabsa kama amna kilichotokea na wakati yupo hewani

Binafsi ina ni kwaza ..nawasilisha

View attachment 3065278
 

Attachments

  • Screenshot_20240809_121656_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20240809_121656_WhatsApp.jpg
    50 KB · Views: 7
"una mtumia kupitia kwa wakala afu hasemi kama kaipata"

Unakuta mtu kabunda tu, wanazingua sana.
 
Back
Top Bottom