babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Umeeleweka,hii tabia ilikuwepo zamani hapa ikakomeshwa.Tusamehe,ni utani wa hapa na pale wala hauna uhalisia....naweza chat Ivo na yoyote but si uhalisia.Am so sor mkuu
Toka lini To yeye nikaoa
Inategemeana na mamkwe, angalia Kajala, kwani Kondeboy hawezi kumla Paula?Umeona ee,sasa vijana wenzio wanakula kweli😳kama siyo laana hiyo
Unaona sasa,watu wa kisasa wanatakiwa wajue kua kuna akina mama mkwe dizaini ile ya Kajala,wasiwe wanawaza kizamani.Wanakulana tu