demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Wanajamvi,
Nimeingia kwa jukwaa mara nikasikia ohh Okrah kaanza kazi mara ohh Kocha mpya ana sumu kali.
Kuuliza nikakuta kumbe Okrah kasawazisha bao dhidi ya Timu ya Ismaily SC.
Sasa nikajiuliza swali jingine. Hivi inakuwaje klabu proffesional kama Ismaily SC ikacheza mechi 2 ndani ya Masaa 48?
Kuuliza vizuri nikaapata info kumbe wale waliocheza sio kikosi cha kwanza cha Ismaily SC. Kumbe kile ni kikosi mseto ambacho kimejumuisha wachezaji wanao kosa namba first 11 pamoja na wale wa U20.
Ifahamike kuwa timu yenyewe ya Ismaily SC ilicheza Jana na kutoka na ushindi wa 1-2 dhidi ya Future SC.
Mnajitekenya na kucheka wenyewe watani zangu😂😂