Mna Safari Ndefu Sana Kama Mmetoa Sare Na Kikosi cha Pili Cha Ismaily SC

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Wanajamvi,

Nimeingia kwa jukwaa mara nikasikia ohh Okrah kaanza kazi mara ohh Kocha mpya ana sumu kali.

Kuuliza nikakuta kumbe Okrah kasawazisha bao dhidi ya Timu ya Ismaily SC.

Sasa nikajiuliza swali jingine. Hivi inakuwaje klabu proffesional kama Ismaily SC ikacheza mechi 2 ndani ya Masaa 48?

Kuuliza vizuri nikaapata info kumbe wale waliocheza sio kikosi cha kwanza cha Ismaily SC. Kumbe kile ni kikosi mseto ambacho kimejumuisha wachezaji wanao kosa namba first 11 pamoja na wale wa U20.

Ifahamike kuwa timu yenyewe ya Ismaily SC ilicheza Jana na kutoka na ushindi wa 1-2 dhidi ya Future SC.

Mnajitekenya na kucheka wenyewe watani zangu😂😂
 
Mabingwa wa south Africa Mamelodi wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Congo TP mazembe wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Morocco Raja Casablanca wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Zambia red arrows wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Champions league Wydad wako nyumbani kwao

Mabingwa wa confederation Berkane wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Tanzania Yanga wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Mapinduzi cup wako Misri

- ENDELEENI KUDANGA
 
Duh hii kali aisee..[emoji23][emoji91]
 
Watanzania kwa ujuaji na roho mbaya hatujambo. Hata kama ni kweli, wewe ni kipi kinakuuma sasa? Kwanza Simba ndie alianza kufunga na kipindi cha pili jamaa wakasawazisha.

Unawajua hata hao wachezaji wa El Ismaily waliocheza ama unajiongelesha tu.

Lengo ni kuwasaidia watani zangu.

Sitaki wabweteke.

Unatoaje sare na U20 ya Ismaily SC tena yenye iko nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi. [emoji23]
 
Mazoezi ya siku 2 ,timu inacheza mechi ya kirafiki, wachezaji wametoka mapumziko ni hatari kwa afya zao, ni rahisi kupata injury tena ya muda mrefu

Tukumbuke timu ipo pre season ila haina kocha wa viungo,haina kocha wa magolikipa na wala haina mtaalamu wa physiology
 
Haya sasa mtaalamu wa misuli Tanzania
 
Mabingwa wa south Africa Mamelodi wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Congo TP mazembe wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Morocco Raja Casablanca wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Zambia red arrows wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Champions league Wydad wako nyumbani kwao

Mabingwa wa confederation Berkane wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Tanzania Yanga wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Mapinduzi cup wako Misri

- ENDELEENI KUDANGA

BILA KUSAHAU REAL MADRID MABINGWA WA SPAIN NA ULAYA WAPO MAREKANI

MABINGWA WA UINGEREZA WAPO THAILAND

MABINGWA WA ITALY WAPO DUBAI .

ILA MABINGWA WA TANGANYIKA NDONDO CUP WAPO NAMTUMBO.

NB: MABAA MAID TUMIENI CONDOM ONA HIZI NGURUWE MUNAZOTULETEA DUNIANI.
 
Mazoezi ya siku 2 ,timu inacheza mechi ya kirafiki, wachezaji wametoka mapumziko ni hatari kwa afya zao, ni rahisi kupata injury tena ya muda mrefu

Tukumbuke timu ipo pre season ila haina kocha wa viungo,haina kocha wa magolikipa na wala haina mtaalamu wa physiology
Mkuu unaelewa maana ya physiology, au umeropokwa tu.

Hivi ni kwanini huwa mnapenda kuoneka kuwa mnajua vitu ilhali mnajua kabisa kuwa shule hamna vichwani??
 
Wanajamvi,

Nimeingia kwa jukwaa mara nikasikia ohh Okrah kaanza kazi mara ohh Kocha mpya ana sumu kali.

Kuuliza nikakuta kumbe Okrah kasawazisha bao dhidi ya Timu ya Ismaily SC.

Sasa nikajiuliza swali jingine. Hivi inakuwaje klabu proffesional kama Ismaily SC ikacheza mechi 2 ndani ya Masaa 48?

Kuuliza vizuri nikaapata info kumbe wale waliocheza sio kikosi cha kwanza cha Ismaily SC. Kumbe kile ni kikosi mseto ambacho kimejumuisha wachezaji wanao kosa namba first 11 pamoja na wale wa U20.

Ifahamike kuwa timu yenyewe ya Ismaily SC ilicheza Jana na kutoka na ushindi wa 1-2 dhidi ya Future SC.

Mnajitekenya na kucheka wenyewe watani zangu[emoji23][emoji23]
Agosti 13 Kuna Watu Watazimia Pale Kwa Mkapa [emoji23]...Af Stori Kwenye Vichwa Vya Magazeti Ya Michezo Vitakuwa "Pamoja Na Kwenda Pre Season Nje Ya Nchi Lakini Waaaaapi Wamekandwa Tena!" [emoji1787]
 
Mkuu unaelewa maana ya physiology, au umeropokwa tu.

Hivi ni kwanini huwa mnapenda kuoneka kuwa mnajua vitu ilhali mnajua kabisa kuwa shule hamna vichwani??
the scientific study of functions and mechanics in a living system.As a subdiscipline of biology, physiology focuses on how organism, organ system, individual organs, cells, and bio molecules carry out the chemical and physical functions in a living system
the movement of oxygen from the outside environment to the cells within tissue, and the removal of carbon dioxide in the opposite direction that's to the environment.

Au umesahau kama timu yenu ilisajili mtaalaum wa masuala ya respiratory process na akafukuzwa kabla ya msimu kuisha

Na timu yenu uwanjani wachezaji wengi hawana pumzi ya kucheza dakika 90

Katafuteni haraka huyo mtaalamu wa physiology (Respiration)

NB:Never take anything seriously in this platform
Anonymous isikufanye ukajiona bora sana kuliko wengine humu ndani
 
BILA KUSAHAU REAL MADRID MABINGWA WA SPAIN NA ULAYA WAPO MAREKANI

MABINGWA WA UINGEREZA WAPO THAILAND

MABINGWA WA ITALY WAPO DUBAI .

ILA MABINGWA WA TANGANYIKA NDONDO CUP WAPO NAMTUMBO.

NB: MABAA MAID TUMIENI CONDOM ONA HIZI NGURUWE MUNAZOTULETEA DUNIANI.
Nyie ni mabingwa wa nini?
 
Wachana na mnyama wewe..!!

Simba SC walikutana siku nne zilizopita, wakapanda ndege kwenda Misri, mazoezi siku mbili, game ya kirafiki wakapata draw na Okrah akaweka, hapo kuna wachezaji wapya hata bado hawajazoeana na wenzao...

Hao wachezaji wa Ismailia angekuwa hawajui wasingesajiliwa, wacha kuruka ruka mtoto, na lile kosi la Simba SC bado halijapata chemistry, wakikaa pamoja mwezi wale wakazoeana nawapa pole zangu mapema .
 
Mwaka Jana mlikaa Morocco siku 45 na mkacheza mechi za pre season nyingi sana na huyo Sakho alifunga kwenye kila mechi ya kirafiki ila kilichotokea baada ya hapo hakuna haja ya kukumbashana
 
Wanajamvi,

Nimeingia kwa jukwaa mara nikasikia ohh Okrah kaanza kazi mara ohh Kocha mpya ana sumu kali.

Kuuliza nikakuta kumbe Okrah kasawazisha bao dhidi ya Timu ya Ismaily SC.

Sasa nikajiuliza swali jingine. Hivi inakuwaje klabu proffesional kama Ismaily SC ikacheza mechi 2 ndani ya Masaa 48?

Kuuliza vizuri nikaapata info kumbe wale waliocheza sio kikosi cha kwanza cha Ismaily SC. Kumbe kile ni kikosi mseto ambacho kimejumuisha wachezaji wanao kosa namba first 11 pamoja na wale wa U20.

Ifahamike kuwa timu yenyewe ya Ismaily SC ilicheza Jana na kutoka na ushindi wa 1-2 dhidi ya Future SC.

Mnajitekenya na kucheka wenyewe watani zangu[emoji23][emoji23]
Haijalishi mkuu, coz kinacho matter ni mwalimu awaone wachezaji

Kumbuka hata hiyo timu yakonya yanga ilicheza na U20nya Somalia na walinusurika kupigwa yanga
 
Back
Top Bottom