ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Na nyinyi mme anza story za chemistry [emoji23][emoji23]maisha hayaWachana na mnyama wewe..!!
Simba SC walikutana siku nne zilizopita, wakapanda ndege kwenda Misri, mazoezi siku mbili, game ya kirafiki wakapata draw na Okrah akaweka, hapo kuna wachezaji wapya hata bado hawajazoeana na wenzao...
Hao wachezaji wa Ismailia angekuwa hawajui wasingesajiliwa, wacha kuruka ruka mtoto, na lile kosi la Simba SC bado halijapata chemistry, wakikaa pamoja mwezi wale wakazoeana nawapa pole zangu mapema .
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app