Mna Safari Ndefu Sana Kama Mmetoa Sare Na Kikosi cha Pili Cha Ismaily SC

Mna Safari Ndefu Sana Kama Mmetoa Sare Na Kikosi cha Pili Cha Ismaily SC

Wachana na mnyama wewe..!!

Simba SC walikutana siku nne zilizopita, wakapanda ndege kwenda Misri, mazoezi siku mbili, game ya kirafiki wakapata draw na Okrah akaweka, hapo kuna wachezaji wapya hata bado hawajazoeana na wenzao...

Hao wachezaji wa Ismailia angekuwa hawajui wasingesajiliwa, wacha kuruka ruka mtoto, na lile kosi la Simba SC bado halijapata chemistry, wakikaa pamoja mwezi wale wakazoeana nawapa pole zangu mapema .
Na nyinyi mme anza story za chemistry [emoji23][emoji23]maisha haya

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kitu nilichogundua kuwa mashabiki wengi wa yanga ni hamnazo ni kwamba timu imeweka Oda sehem ya kufikia Na gharama by then inaghairi Safari siku nne kabla ya kuondoka wale wanataka yanga iilipie gharama zote walizokubaliana kwa kuwapotezea muda pengne walikuwa Na Oda ya timu nyingine timu imeingia hasara halafu kiongozi anakuja Na hoja dhaifu kabisa je hizo ratiba hawakuwa wanazijua kabla au uzezeta???
Nenda wewe basi maana imekuuma sana

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Nadhani alimaanisha Psychology.
✔️✔️

Wewe ndo umeelewa msingi wa swali langu, sasa yeye pamoja na kukosea bado akatafuta namna ya kuendelea kutetea makosa yake. Penye ukweli ni lazima tuambizane, hata kama tunaonekana kuwa tofauti linapokuja swala la Simba Sc na Yanga Sc.


Simba Sc na Yanga Sc kwa pamoja hazijawahi kutangaza kuajiri au kufukuza wataalamu wa PHYSIOLOGY (kwanza sijui kafikiria nini tu kuzusha hicho kitengo maana sidhani kama kimewahi kuwepo kwenye hivi vilabu)

Cc Mnyuke Jr
 
Mshambuliaji hawi MFUPI vile bhana, tusidanganyane, yule ni MBILIKIMO.
Ni kama alivyokuwa yule Mrisho Ngassa enzi hizo hapo Yanga Sc, binafsi nilikuwa namuona kama mbilikimo tu (boya) na hakustahili kabisa kuwa mshambuliaji.

Hata Kaseke nae alikuwa ni mbilikimo tu, ndiomaana tumeachana nae.
 
Mshambuliaji hawi MFUPI vile bhana, tusidanganyane, yule ni MBILIKIMO.
Ni kama alivyokuwa yule Mrisho Ngassa enzi hizo hapo Yanga Sc, binafsi nilikuwa namuona kama mbilikimo tu (boya) na hakustahili kabisa kuwa mshambuliaji.

Hata Kaseke nae alikuwa ni mbilikimo tu, ndiomaana tumeachana nae.
 
Mabingwa wa south Africa Mamelodi wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Congo TP mazembe wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Morocco Raja Casablanca wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Zambia red arrows wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Champions league Wydad wako nyumbani kwao

Mabingwa wa confederation Berkane wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Tanzania Yanga wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Mapinduzi cup wako Misri

- ENDELEENI KUDANGA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Matombooo kumenougaaaaa!!!!!
 
Mazoezi ya siku 2 ,timu inacheza mechi ya kirafiki, wachezaji wametoka mapumziko ni hatari kwa afya zao, ni rahisi kupata injury tena ya muda mrefu

Tukumbuke timu ipo pre season ila haina kocha wa viungo,haina kocha wa magolikipa na wala haina mtaalamu wa physiology
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha ajabu unateseka wee. Mbna badoo mtatafutana huu mwaka, woiiiiiiih

Byuti byuti.
 
Wazururaji katika ubora wao huwa wanaupiga mwingi sana katika kuzurura kuliko kucheza mpira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapita na Mkwanja wote kwa kibubu. Subirini hadi magodoro fake yauzike, ndo mpate ahueni.

Byuti byuti.
JamiiForums1319825527.jpg
 
Yuko sawa kabisa.

Ndio maana kabla mchezaji ajaingia uwanjani ni lazima afanye warming up.

Warming up inapunguza uwezekano wa kupata unneccesary injuries.

Likizo ya muda mrefu inahitaji warming up ya muda mrefu pia.
Mazoezi minmum yanatakiwa kuwa ya Siku ngapi?
Likizo ya mda mrefu ya siku ngapi?
Training match sio mazoezi? Mfano kocha angegawa 11 huku 11 kule ingekuwa sawa?
Ila kupasha na 11 wa ismalia sio sawa.
Acheni uzwazwa nyie....
 
Mbona na nyie mlitoa sare na wale watoto under 20 wa Sudan tena kwa Mkapa pale au ndio Nyani haoni kundule?
 
Watanzania kwa ujuaji na roho mbaya hatujambo. Hata kama ni kweli, wewe ni kipi kinakuuma sasa? Kwanza Simba ndie alianza kufunga na kipindi cha pili jamaa wakasawazisha.

Unawajua hata hao wachezaji wa El Ismaily waliocheza ama unajiongelesha tu.
Akae kwa kutulia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapita na Mkwanja wote kwa kibubu. Subirini hadi magodoro fake yauzike, ndo mpate ahueni.

Byuti byuti. View attachment 2294984
Sasa hivi mnasema yanga haina hela alafu baadae mtaanza Yanga ananunua mechi
 

Attachments

  • Ny.jpeg
    Ny.jpeg
    16.5 KB · Views: 3
Sasa hivi mnasema yanga haina hela alafu baadae mtaanza Yanga ananunua mechi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiiiiiih
Kibubu kimekombwaaa choteeee, biashara ya magodoro hailipi.. Tena fake.

Byuti byuti.
 
Back
Top Bottom