ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Halafu sijawahi sikia Yanga au Simba wanachezeshwa saa nane mchana mechi za ligiNi boramechi ziwe hata ttu kamani lazima yaani game zianze saa 10 jioni iwepo ya saa 1 jioni na saa 3 usiku....kuliko hii ya kuwatesa watu na jua hili kali hasa hapa Dar...na kwa upande mwingine hizi game za mapema zimekaa kiunyanyapaa zaidi kwa maana timu dhaifu zinapangwa mapema juani ili hali wenye nafuu wanapangwa usiku..
TFF jaribuni kuweka usawa katika hili.
hao wakigoma Nani atawafanya kituHalafu sijawahi sikia Yanga au Simba wanachezeshwa saa nane mchana mechi za ligi
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Nimeona kichwa cha habari nikajua ni zile "mechi" zetu pendwa kumbe za football!!!Ni boramechi ziwe hata ttu kamani lazima yaani game zianze saa 10 jioni iwepo ya saa 1 jioni na saa 3 usiku....kuliko hii ya kuwatesa watu na jua hili kali hasa hapa Dar...na kwa upande mwingine hizi game za mapema zimekaa kiunyanyapaa zaidi kwa maana timu dhaifu zinapangwa mapema juani ili hali wenye nafuu wanapangwa usiku..
TFF jaribuni kuweka usawa katika hili.