Mnaanzaje Kuweka mechi Saa 8 na Jua hili?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ni boramechi ziwe hata ttu kamani lazima yaani game zianze saa 10 jioni iwepo ya saa 1 jioni na saa 3 usiku....kuliko hii ya kuwatesa watu na jua hili kali hasa hapa Dar...na kwa upande mwingine hizi game za mapema zimekaa kiunyanyapaa zaidi kwa maana timu dhaifu zinapangwa mapema juani ili hali wenye nafuu wanapangwa usiku..
TFF jaribuni kuweka usawa katika hili.
 
Halafu sijawahi sikia Yanga au Simba wanachezeshwa saa nane mchana mechi za ligi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ni boramechi ziwe hata ttu kamani lazima yaani game zianze saa 10 jioni iwepo ya saa 1 jioni na saa 3 usiku....kuliko hii ya kuwatesa watu na jua hili kali hasa hapa Dar...na kwa upande mwingine hizi game za mapema zimekaa kiunyanyapaa zaidi kwa maana timu dhaifu zinapangwa mapema juani ili hali wenye nafuu wanapangwa usiku..
TFF jaribuni kuweka usawa katika hili.
Nimeona kichwa cha habari nikajua ni zile "mechi" zetu pendwa kumbe za football!!!
 
Kweli jua ni zaidi ya ukali, linachoma kwa hasira kuanzia saa moja asubuhi wale wachezaji kule uwanjani nawapa pole sana, kuwepo uwanjani saa 8 mchana kucheza mpira ni sawa na wameanza kuhukumiwa kabla ya siku ya mwisho, au labda ndio wana gain experience ile siku ikifika wasilie sana.
 
Kwa mpira unachezwa na Simba Bora wacheze saa 8 pale Mabatini, kuipa timu Kama Simba heshma ya kucheza usiku ni matumizi mabaya ya nyasi asilia na umeme pale Benjamin Mkapa.
 
Back
Top Bottom