ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ni boramechi ziwe hata ttu kamani lazima yaani game zianze saa 10 jioni iwepo ya saa 1 jioni na saa 3 usiku....kuliko hii ya kuwatesa watu na jua hili kali hasa hapa Dar...na kwa upande mwingine hizi game za mapema zimekaa kiunyanyapaa zaidi kwa maana timu dhaifu zinapangwa mapema juani ili hali wenye nafuu wanapangwa usiku..
TFF jaribuni kuweka usawa katika hili.
TFF jaribuni kuweka usawa katika hili.